Waafrika twendeni tukazoe mafuta ya chee Urusi kama wanavyofanya China na India

Ukinunua hayo mafuta ya [emoji635][emoji635] bwana mkubwa [emoji631][emoji631] atakuchezesha kanyabazongo hadi uyatapike [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wanajeuri wakachukue hayo mafuta
Mtapigishwa kwata na sebene mpata mtaapike yoteeee.....
Wajinga nyie
 
Mzigo hauna shipping permit, hauna document yoyote utapita tu? Halafu US akupe hela za msaada wewe ukanunue mafuta ya Urusi?
Yaan wajiloge tuu wachukue hayo mafuta
Biden atawapigisha kwata hadi mtaapike yoteeee......
Na vibokoo juuu plus kazi ngumuu
 
Aaah twende Urusi tukazoe mafuta ya bei nafuu ili tupate nguvu ya kulipa madeni ya Magharibi.
Tukiyagusq hayo mafuta uchumi wetu utanyongwa fasta.
Kambo la kwanza nchi zote za Ulaya na Marekani watakata misaada yote na kuondoa changizo la bajeti.
Ndani ya muda mfupi tutachakaa mnoo.
 
Hakuna cha bure hapa duniani utakuja tatuliwa marinda ....ata huyo china aliishawahi dhurumiwa ardhi na huyo mrusi....usijidanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…