Waafrika walikurupuka kudai Uhuru

Nikipewa Tz miaka 5 tu inarank na Korea kusini,kwanza nanyosha raia mwaka mmja wote kama huyu mtoaa madaa wanakula chuma,machawa wote nasafisha

Nabaki nawatu wakazii,kilimo chote nitahakikisha kinatija kwa Raia, mashoga piga shabaa wote, viwanda vitajengwa haswa,raia mwenye ubunifuu atalindwa haswa.Barabara lami kote,marufuku kuezeka nyasi au tope,Wafisadi piga shabaa wotee,wabunge wote mshahala million 1,ununuzi wa V8 marufuku kwa serikali yangu. Nchi inakila kituu halafu tumekalia kuleana leana kipumbavu tu.
 
Unaangalia wapi ? Kwa makaburu apartheid mtu mweusi haruhisiwi kutembea baadhi ya sehemu au Rhodesia under Ian Smith ?

Au kufeli kwa Rome, Great Britain na ulaya kwa ujumla kumetokana na nini (mbona race ni ileile); Au nini maana ya Ukoloni ?; Nadhani issue sio wote kuishi kwa pamoja kama ndugu bali ni baadhi (wachache) kunyonya wengine kwa mabavu
 
Mtu kama Mama Samia unakuta hyper man ni Mwijaku na Dotto magari.

Halafu Mtu kama Trump unakuta hyper man ni Elon Musk.

Unaona utofauti wa Africa na Mbele. Kweli tulikurupuka.

Your browser is not able to display this video.
 
Kukurupuka kwenyewe ndio huku
 
Uhuru bila ukomavu wa kiakili ni kama kujichimbia kaburi, ni sawa na mtoto atake uhuru wa kujiongoza. Tukubali ni mistake ilifanyika kuwafukuza bila kujipanga kwanza ila ajabu ni kuwa hadi leo ni kama bado hatujielewi napata ulakini na uwezo wa mtu mweusi kujiongoza.
 
Trump kasema Africa itawaliwe tena, waonyeshwe namna ya kutumia rasilimali zao. Ama uongozi hafifu kwa kutumia rushwa au viongozi wenye maono ila wezi.
 
Kama unadai harakati za ukombozi wa Afrika ziliongozwa zaidi na mihemko kuliko mipango madhubuti, je, hali ya kisiasa na kiuchumi ya bara hili inathibitisha kuwa mataifa mengi hayakuwa tayari kwa uhuru wakati huo?
 
Changamoto sana
 
Tulikurupuka sana kudai uhuru. Waafrika bado ni wajinga na hatuna akili na wapumbavu. Na kila tunavyozidi kusoma ndio tunazidi kuwa stupid. Tungewaacha wazungu watutawale tungekuwa mbali sana
 
Uko sahihi kabisa.
 
Tulidai UHURU kwa nia ya kuondokana na mateso na unyanyasaji wa Mkoloni, lakini hatukujua kuwa wenzetu nao wamekuwa ni wakoloni weusi na huenda hata zaidi ya wale Wazungu wa Ujerumani.

Kudai UHURU lilikuwa ni jambo zuri sana lakini hatukujua kuwa wenzetu wamakuwa wabaya mara dufu ya Wakoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…