HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ni ukweli jitu kama TIPUTIPU lililoua babu zetu kwa risasi kama njugu linakuaminisha eti kuna pepo na moto nawe unakubali kama zuzu upuuzi mtupuWaafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa hofu ya moto kwa mambo ya kuhadithiwa na watu waliowatawala na wasiyokuwa na utu
Well said mkuu, umemaliza yote.Waafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa hofu ya moto kwa mambo ya kuhadithiwa na watu waliowatawala na wasiyokuwa na utu
Ukishajiona una akili sana kuliko wenzio
Hilo ni tatizo tena sio dogo
Siyo kweli na usikkariri fanya utafiti wakoMbona wachaga waislamu wengi sana!
Huwezi ukajiona kuwa una akili wewe mwenyewe bali wasio na akili ndiyo watakuona na kuja wenyewe kama hivi wewe usiye na akili umeniona na umekuja mwenyeweUkishajiona una akili sana kuliko wenzio
Hilo ni tatizo tena sio dogo