Waafrika wanalazimisha mafanikio ya Morocco yawe ya Waafrika wote

Umenena !! Hapa bongo tu jitazameni na ukabila wenu ndo muanza kuwasema hao wale sio waafrica kwanza weupe hata kiakili wako njema ,Wana mikakati bomba sio nyie kelele.

Hamkawii kuja na list ya makabila yenye mafanikio mbona hamsemi watanzania weny mfanikio ,kila mtu ashinde zake kwa ngozi nyeusi hata uweje wale wanaona ovyo tu, ustaarabu hatuna kazi uwizi na kubaguana wale .

Jamaa amededicate ushindi kwa mataifa ya waarabu wote ilihali Wana makabila kibao ...sasa hapa bongo mtu angetaja kabila lake ,kifupi tupambane na hali zetu .

Ubaguzi uko Africa na Tanzania Zaid ya huko ulaya wenzetu wanapendana kutoka a na ngozi zao ,ila sisi watu weusi tupu bado tunabaguana tuna safari ndefu sana.
 
Sijui ni tumerogwa au haya yote ni sababu ya elimu duni au Mungu ndo alivyo tuumba yaani sijui jamii yetu ya kiafrika ina matatizo gani.

Waafrika ndio jamii pekee ambayo utapambana kwa nguvu zako kusoma kwa shida lakini ukipata kazi wanataka mshahara unao upokea uwe wa ukoo mzima.

Waafrika ndo jamii pekee ambayo utapambana peke yako kutafuta mafanikio kwenye maisha yako saa nyingine kuhatarisha mpaka maisha yako ili ufikie hayo mafanikio , lakini baada ya kupata huo utajiri wana razimisha uwe wa ukoo mzima.

Mfano angalia waafrika wanavyo razimisha mafanikio ya Morocco yawe ya waafrika wote.
Tena unakuta jitu zima ambalo kwa kuliangalia utasema ni jitu lenye akili ,lakini unakuta eti lina lalamika kuhusu kauli iliyo tolewa na naodha wa Morocco aliye sema ushindi wa Morocco ni wa na waarabu eti waafrika wamebaguliwa.

Jamaa aliongea ukweli kwa sababu timu yao imeandaliwa na mpaka sasa inahudumiwa kwa pesa za walipa kodi wa Morocco na si za waafrika ,sema tu waafrika ni jamii iliyo zoea kulalamika hata kwenye mambo ya kijinga

Ww unaye razimisha ushindi wa Morocco uwe wa waafrika wote kwa mchango upi ulio wapa mpaka kufikia hayo mafanikio yao?

Morocco inatumia mamilion ya $ ya kodi za wamoroco kuwekeza kwenye kwenye soka kuanzia kujenga viwanja vya kisasa na akademi ,wakati ss huku Tz viwanja vyote CCM imevingangania wakati hata kuviendeleza imeshindwa.

Kama unaishabikia Morocco ishangilie kwa sababu unapenda inavyo cheza au kuna wachezaji unawahusudi lakini sio kwa sababu uchwara eti ni wawa kilishi wa Afrika, ishabikie kama mnavyo shabikia uhispania, Ujerumani,Ubeligiji ambazo hazina uhusiano wowote na waafrika.

Waafirika ni watu tunao penda kupata matokeo hata kama hatujafanya mtihani.

Unakuta mtu hataki uwepo wa single mother mitaani lakini kwenye uzi wa kula tunda kimasihara ana simulia jinsi ambavyo ameshala kula mabinti zaidi ya 7 kimasihara tena bila kondomu.

Waafrika tuache unonko tufanye mambo yetu sisi kama sisi tuache tabia ya kijishikiza nyuma ya jamii nyingine kwa vigezo uchwara.
Morroco for Africa kama una wivu pita hivi.
Geographically Morroco is in Africa.Those who say Morroco is for Arabs are just driven by Religious emotions, perceptions and religious indoctrination.

Morroco for Africa!

Over.
FB_IMG_1670700672461.jpg
 
Hasa watanzania wana shobo sana.
Huwezi kumpangia mtu timu ya kushabikia..anaye shabikia Morroco kwa ajili ya kuiwakilisha Afrika yupo sahihi pia.

Kama timu zenu za kina Brazil, Spain, England, Portugal zimetoka mkae kwa kutulia sio kuja kunanga wa Afrika Morrocon[emoji23][emoji23]
 
We naye hamnazo, Sawa pengine Waafrica hatuna mchango wowote kwenye kwa timu yao kwasababu hatulipi kodi za nchi yao Ndio maana walitubagua wakati wa kuongea kwao, lakini je umewahi kujiuliza wale Waarabu na Waislam wasio wa Morocco ambao walikuwa dedicated kwenye ushindi huo wanamchango gani kwenye mali/kodi za Morocco zilizotumika kuiandaa timu yao?(Maana Siye hatuna mchango wowote kwenye kodi)
Nilitaka kusema hivyo pia.
 
Sijui ni tumerogwa au haya yote ni sababu ya elimu duni au Mungu ndo alivyo tuumba yaani sijui jamii yetu ya kiafrika ina matatizo gani.

Waafrika ndio jamii pekee ambayo utapambana kwa nguvu zako kusoma kwa shida lakini ukipata kazi wanataka mshahara unao upokea uwe wa ukoo mzima.

Waafrika ndo jamii pekee ambayo utapambana peke yako kutafuta mafanikio kwenye maisha yako saa nyingine kuhatarisha mpaka maisha yako ili ufikie hayo mafanikio , lakini baada ya kupata huo utajiri wana razimisha uwe wa ukoo mzima.

Mfano angalia waafrika wanavyo razimisha mafanikio ya Morocco yawe ya waafrika wote.
Tena unakuta jitu zima ambalo kwa kuliangalia utasema ni jitu lenye akili ,lakini unakuta eti lina lalamika kuhusu kauli iliyo tolewa na naodha wa Morocco aliye sema ushindi wa Morocco ni wa na waarabu eti waafrika wamebaguliwa.

Jamaa aliongea ukweli kwa sababu timu yao imeandaliwa na mpaka sasa inahudumiwa kwa pesa za walipa kodi wa Morocco na si za waafrika ,sema tu waafrika ni jamii iliyo zoea kulalamika hata kwenye mambo ya kijinga

Ww unaye razimisha ushindi wa Morocco uwe wa waafrika wote kwa mchango upi ulio wapa mpaka kufikia hayo mafanikio yao?

Morocco inatumia mamilion ya $ ya kodi za wamoroco kuwekeza kwenye kwenye soka kuanzia kujenga viwanja vya kisasa na akademi ,wakati ss huku Tz viwanja vyote CCM imevingangania wakati hata kuviendeleza imeshindwa.

Kama unaishabikia Morocco ishangilie kwa sababu unapenda inavyo cheza au kuna wachezaji unawahusudi lakini sio kwa sababu uchwara eti ni wawa kilishi wa Afrika, ishabikie kama mnavyo shabikia uhispania, Ujerumani,Ubeligiji ambazo hazina uhusiano wowote na waafrika.

Waafirika ni watu tunao penda kupata matokeo hata kama hatujafanya mtihani.

Unakuta mtu hataki uwepo wa single mother mitaani lakini kwenye uzi wa kula tunda kimasihara ana simulia jinsi ambavyo ameshala kula mabinti zaidi ya 7 kimasihara tena bila kondomu.

Waafrika tuache unonko tufanye mambo yetu sisi kama sisi tuache tabia ya kijishikiza nyuma ya jamii nyingine kwa vigezo uchwara.
Na wewe ulivyo kuwa mshabiki wa nchi za ulaya na Amerika kusini kama Brazil, Uruguay, Spain, England Portugal, Belgium, Netherlands n.k ... UMETOA au ULITOA mchango gani kuwasaidia kwenye mafanikio yao???

Kwa nini ume base tu kwa mashabiki wa Morroco?

Hakuna aliyetoa mchango wowote kushabikia timu yeyote ile..kila nchi ime pambano kivyake...

Sisi kazi yetu ni ushabiki tu.Hivyo haijalishi unashabikia nchi fulani kwa kigezo kipi!

Kila mtu yupo sahihi kushabikia nchi fulani kulingana na mtazamo wake.
 
Morroco for Africa kama una wivu pita hivi.
Geographically Morroco is in Africa.Those who say Morroco is for Arabs are just driven by Religious emotions, perceptions and religious indoctrination.

Morroco for Africa!

Over.View attachment 2442727
Iko Africa lakini haipambani kwa ajiri ya Africa bali inapambana kwa ajiri ya Morocco.
 
Mechi ya final AFCON kati ya Senegal vs Misri,wengi walishangilia Senegal na kuwabeza Misri kua ni waarabu sio waafrika!
Sasa inakuaje tena tunajipendekeza kwa Morocco? leo hii nina uhakika ikicheza Morocco vs Ghana,nyie wote mnaolalamika kubaguliwa mtaishangilia Ghana na mtaona Morocco sio waafrika! halafu acha kuchanganya Uarabu na uislamu,hakuna mchezaji wa Morocco aliyetaja uislamu,kama hujui wapo waarabu ila sio waislamu bali ni wakristo,

Tuache unafiki kwanza,ubaguzi tunao sana ila sisi kubagua hua tunaona ni sawa ila tukibaguliwa ndio tuna anza kulia lia.
Ubaguzi hata ndani ya familia yako upo.
 
Na wewe ulivyo kuwa mshabiki wa nchi za ulaya na Amerika kusini kama Brazil, Uruguay, Spain, England Portugal, Belgium, Netherlands n.k ... UMETOA au ULITOA mchango gani kuwasaidia kwenye mafanikio yao???

Kwa nini ume base tu kwa mashabiki wa Morroco?

Hakuna aliyetoa mchango wowote kushabikia timu yeyote ile..kila nchi ime pambano kivyake...

Sisi kazi yetu ni ushabiki tu.Hivyo haijalishi unashabikia nchi fulani kwa kigezo kipi!

Kila mtu yupo sahihi kushabikia nchi fulani kulingana na mtazamo wake.
Hakuna aliye kukataza kushabikia Morocco ninacho kataa ni nyinyi kurazimisha muwe sehemu ya huo ushindi na mafanikio yao wakati kiuhalisia ni kinyume chake.
 
Iko Africa lakini haipambani kwa ajiri ya Africa bali inapambana kwa ajiri ya Morocco.
Kila nchi inapambana kwa ajili yake si France, Croatia, Argentina, na Morroco.

Wote maslahi yao kwanza ni nchi zao pekee.

Lakini ushabiki wa mashabiki hutofautiana kwa vile kila shabiki yupo nchi zingine tofauti hizi. Hivyo kila mtu yupo sahihi kushabikia nchi aipendayo kwa kigezo chochote kile iwe mapenzi binafsi ya mtu kwa nchi husika, iwe kushare Bara(continent), iwe ujirani na ukaribu wote wapo sahihi.
 
Hakuna aliye kukataza kushabikia Morocco ninacho kataa ni nyinyi kurazimisha muwe sehemu ya huo ushindi na mafanikio yao wakati kiuhalisia ni kinyume chake.
Nani amelazimisha????

Nani amesema yupo sehemu ya ushindi wa Morroco?

Ukishabikia Let say Manchester united ikashinda utasema ulikuwepo kwenye ushindi wa Manchester united????
 
Kwa mtazamo wangu binafsi, kuishabikia Morocco kisa inatoka Afrika naona ni utaahira. Ila kama ndo timu yako ya toka utotoni Sawa.

Na kuona ushindi(mafanikio) ya morocco kuwa ni ya Afrika mzima huo ni upumbavu. Ni Sawa na kusema Argentina akibeba uwe ni ushindi wa Amerika ya kusini NZIMA. Au France akibeba uwe ni ushindi wa Ulaya nzima.

Huo ni utaahira
Watanzania tunasumbuliwa na Wivu ,Chuki na Nyege…
 
Tumeshakubali huo ni ushindi wa waarabu na waislamu, sisi kwa kweli tujitahidi iko siku tutakua na cha kwetu, tuache kung'ang'ania hata dini ambayo tunatukanwa waziwazi na wenye dini yao...

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
 
Sijui ni tumerogwa au haya yote ni sababu ya elimu duni au Mungu ndo alivyo tuumba yaani sijui jamii yetu ya kiafrika ina matatizo gani.

Waafrika ndio jamii pekee ambayo utapambana kwa nguvu zako kusoma kwa shida lakini ukipata kazi wanataka mshahara unao upokea uwe wa ukoo mzima.

Waafrika ndo jamii pekee ambayo utapambana peke yako kutafuta mafanikio kwenye maisha yako saa nyingine kuhatarisha mpaka maisha yako ili ufikie hayo mafanikio , lakini baada ya kupata huo utajiri wana razimisha uwe wa ukoo mzima.

Mfano angalia waafrika wanavyo razimisha mafanikio ya Morocco yawe ya waafrika wote.
Tena unakuta jitu zima ambalo kwa kuliangalia utasema ni jitu lenye akili ,lakini unakuta eti lina lalamika kuhusu kauli iliyo tolewa na naodha wa Morocco aliye sema ushindi wa Morocco ni wa na waarabu eti waafrika wamebaguliwa.

Jamaa aliongea ukweli kwa sababu timu yao imeandaliwa na mpaka sasa inahudumiwa kwa pesa za walipa kodi wa Morocco na si za waafrika ,sema tu waafrika ni jamii iliyo zoea kulalamika hata kwenye mambo ya kijinga

Ww unaye razimisha ushindi wa Morocco uwe wa waafrika wote kwa mchango upi ulio wapa mpaka kufikia hayo mafanikio yao?

Morocco inatumia mamilion ya $ ya kodi za wamoroco kuwekeza kwenye kwenye soka kuanzia kujenga viwanja vya kisasa na akademi ,wakati ss huku Tz viwanja vyote CCM imevingangania wakati hata kuviendeleza imeshindwa.

Kama unaishabikia Morocco ishangilie kwa sababu unapenda inavyo cheza au kuna wachezaji unawahusudi lakini sio kwa sababu uchwara eti ni wawa kilishi wa Afrika, ishabikie kama mnavyo shabikia uhispania, Ujerumani,Ubeligiji ambazo hazina uhusiano wowote na waafrika.

Waafirika ni watu tunao penda kupata matokeo hata kama hatujafanya mtihani.

Unakuta mtu hataki uwepo wa single mother mitaani lakini kwenye uzi wa kula tunda kimasihara ana simulia jinsi ambavyo ameshala kula mabinti zaidi ya 7 kimasihara tena bila kondomu.

Waafrika tuache unonko tufanye mambo yetu sisi kama sisi tuache tabia ya kijishikiza nyuma ya jamii nyingine kwa vigezo uchwara.
Kwani Morocco ipo bara gani ?...
 
Basi hapo mwenyewe unaona umeandika bonge la point.. 😀 😀

Leta ushahidi kama kuna mchezaji alitaja dini,na unaposema wana tabia za ubaguzi toka enzi na enzi.hebu tuambie hizo tabia za toka enzi na enzi ni zipi? au unaongelea ubaguzi wa enzi na enzi wa mzungu kwa muafrika? au wewe ndio wale wanaomuabudu mkoloni?

Sawa tumewaskia waarabu wa Bongo..

img-20221207-wa0032-jpg.2438762
 
Sawa tumewaskia waarabu wa Bongo..

img-20221207-wa0032-jpg.2438762
Geographically Morroco is in Africa.
Those who say Morroco is for Arabs are just driven by Religious emotions, perceptions and religious indoctrination.

Morocco ipo barani Afrika.
Wanao sema ushindi wa Morroco ni kwa waarabu pia, Wana endeshwa na Mihemko na itikadi za Kidini.
 
Kwa mtazamo wangu binafsi, kuishabikia Morocco kisa inatoka Afrika naona ni utaahira. Ila kama ndo timu yako ya toka utotoni sawa
Mbona unajichanganya Sasa ?......unaandika kushabikia Morocco ni utaahira alafu unasema tena ni sawa.....

Kwani kushabikia utotoni na kushabikia ukubwani kote si kushabikia tu ?...
 
Back
Top Bottom