Waafrika wangebakia tu na mfumo wa uchifu na ufalme

Waafrika wangebakia tu na mfumo wa uchifu na ufalme

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
1. Viongozi wanataka wabaki madarakani hadi kufa, ni vile tu pressure za watu na external influence.

2. Viongozi hawataki kukosolewa wala kuulizwa au kuwajibika kwa matendo yao.

3. Wasaidizi wao wanatembea na mfumo wa " Your wish, my command " Wanafanya mambo ya kuumiza watu ili kumfurahisha mfalme/chief

Total chaos.
 
Back
Top Bottom