1. Viongozi wanataka wabaki madarakani hadi kufa, ni vile tu pressure za watu na external influence.
2. Viongozi hawataki kukosolewa wala kuulizwa au kuwajibika kwa matendo yao.
3. Wasaidizi wao wanatembea na mfumo wa " Your wish, my command " Wanafanya mambo ya kuumiza watu ili kumfurahisha mfalme/chief
Total chaos.