Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mkuu wasamehe, punguza ukali wa maneno ndio hao hao mizimu yetu😅Waafrika wengi ambao ni wafuasi wa hao viongozi wa dini wengi wao ni MAZEZETA,MATAHIRA na WENYE UPUNGUFU KICHWANI!.
zingekuwa ni tuhuma zisizo na ushahidi kweli ningeamini maneno yako.BBC siku zote ni ya Madhalimu.
Madhalimu huwa hawana mazuri ya kusema kuhusu Mwafrika.
Angalia mapovu ya mawakala yao huko juu.
Konyo Nzeshi Kabisa.
Kudadeki😅Ukiona mtu anajitangaza kwamba anatenda miujiza ujue 100% huyo ni tapeli. Miujiza haipo kuna udanganyifu hua unafanywa.
Huwezi fanya udanganyifu bila utambuzi, maana yake umedhamiria kutapeli.
Charles wa Uingereza ni kiongozi wa Dini. Dini ya kishetani.Ukimuamini Mungu hata kama mtu akija akakwambia mapungufu yako hutomchukia bali utampenda kwasababu kakwambia ukweli na kakusaidia,ila ukiamuamini kiongozi wa dini mtu akaja akakwambia mapungufu yake lazima utamchukia mtu huyo,si kwasababu humpendi mtu huyo bali amekwambia kitu ambacho hukutaka kukisikia kamwe kuhusu mtu uliyemuamini!.
Waafrika wengi ambao ni wafuasi wa hao viongozi wa dini wengi wao ni MAZEZETA,MATAHIRA na WENYE UPUNGUFU KICHWANI!.
Too generalised.Charles wa Uingereza ni kiongozi wa Dini. Dini ya kishetani.
Mizezeta ya Uingereza haisikii lolote, huwaambii lolote, unafikiri kwanini...
Umeona hao mashahidi wenyewe?zingekuwa ni tuhuma zisizo na ushahidi kweli ningeamini maneno yako.
Wewe ndio wakala wa mpinga kristo.BBC siku zote ni ya Madhalimu.
Madhalimu huwa hawana mazuri ya kusema kuhusu Mwafrika.
Angalia mapovu ya mawakala yao huko juu.
Konyo Nzeshi Kabisa.
Too biased. Unaona unachotaka kuona.Too generalised.
Wale wanawake waliliwa matunda yao kimasihara wakachanganyikiwa, leo hii mke wake TB kashika usukani wamekosa pa kuchumia, wamekimbilia kwao na nye nye nye kibaoWewe ndio wakala wa mpinga kristo.
Yesu alisema kuweni makini watakuja manabii feki, kwahyo wewe una akili sana kuliko yeye?
Yule kenge tulishamuona muda mrefu, hakuna kitu pale katika manabii feki aliowaongelea yesu yule ndio alikuwa kiongozi
Ume generalise kuwa waingereza wote. Lengo langu sio kubisha ulichosema, nimebisha kusema wote. Kumbuka kuna waingereza ambao ni Muslim, Christian, hindu, Hare krishna, budha n. KToo biased. Unaona unachotaka kuona.
Kuna mablanketi huko juu umeignore.