Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

Tb Jishua ni binaadam kama wengine tu, binadam akiamua kufanya anayotaka kuyafanya anafanya tu kwa utashi wake.... ntumemjua Tb Joshua kupitia haya majukwaa ya kijamii ya miaka hii nani anajua vyema hasa wapi alitokea na nini chanzo na misingi ya huduma zake... hizo imani nazo ni zao ndo walikuja nazo afrika. Tukaacha zetu tukadharau miiko yetu mila na,desturi zetu. Wametuingiza kwenye tamaduni zao tumeingia wazima wazima na zinatusumbua sasa tuna bushania hizo hizo kwa mizengwe inayofanywa na waafrika wenzetu kwa mgongo wa imani zao na hao hao na mashirik yao makubwa ya utangazaji ndio wanakuja kufichua tuhuma kuhusu matendo ya bibaadam mwenzetu ambayo kimsingi kwa kaliba yake angeweza tu kuyafanya na kuyaficha kutokana na ukwasi wake.... ametengeza image ambayo hata akifanya uovu watu wengi hawatoamini... lakini watu hawa wana mengi mno yanayoendelea nyuma ya pazia tusiyoyajua na tusiyotaka kuyasikia kwa kua sio tumemuamini Mungu bali tumewaamini wao na kumbe ni binadamu tu wanaweza kuyafanya mana sio watakatifu hao.. mfano Mackenzie na scandal ya shakahola n watu kufa kwa kufunga.. mbona hawa manabii hawapigi kelele kua serikali ya Kenya kupitia wachunguzi wao inaingilia imani za watu? Sema mwamba alikua tajiri na alipoku hai aliweza ku dhibiti haya kwa muda mrefu,, tutayajua mengi mno haya ni madogo juu ya hizi imani fleva
 
Back
Top Bottom