Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria,
ambaye amekuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Italia, Victor Osimhen aliingia na mtoto wake mwenye mchanganyiko wa Kiafrika na kizungu uwanjani
Mashabiki wengi mtandaoni kutoka Afrika walionyesha kutofurahishwa na mchezaji huyo kuzaa na mzungu na kuwaacha wanawake wa Kiafrika na kusema huo ni kama Usaliti kwa Waafrika wenzake