Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ukute waafrika wanaolalamika hivyo ni wale wa kiumeView attachment 2647061
Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria,
ambaye amekuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Italia, Victor Osimhen aliingia na mtoto wake mwenye mchanganyiko wa Kiafrika na kizungu uwanjani
Mashabiki wengi mtandaoni kutoka Afrika walionyesha kutofurahishwa na mchezaji huyo kuzaa na mzungu na kuwaacha wanawake wa Kiafrika na kusema huo ni kama Usaliti kwa Waafrika wenzake
Nimekuelewa vizuri sanaWazungu ni wabaguzi sana. Sisi hatuna ubaguzi kabisa.
Waafrica wenyewe wakijichunguza watajikuta si Waafrica, ni nchi tofauti, katika nchi ni makabila tofauti.View attachment 2647061
Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria,
ambaye amekuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Italia, Victor Osimhen aliingia na mtoto wake mwenye mchanganyiko wa Kiafrika na kizungu uwanjani
Mashabiki wengi mtandaoni kutoka Afrika walionyesha kutofurahishwa na mchezaji huyo kuzaa na mzungu na kuwaacha wanawake wa Kiafrika na kusema huo ni kama Usaliti kwa Waafrika wenzake
Tunarudi palepale ya kwamba "WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE"Waafrica wenyewe eskijichunguzs watajikuta si Waafrica, ni nchi tofauti, katika nchi ni makabila tofauti.
Hapo napo vipi?
Kila mtu aoe kijijini kwao?
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Mimi naona ni kinyume chake.Wazungu ni wabaguzi sana. Sisi hatuna ubaguzi kabisa.