Waafrika wengi tunaishi kama mifugo

Waafrika wengi tunaishi kama mifugo

Africa joto kali sana, wote mnakuwa wamotomoto muda wote, mkikaa karibu lazima liwachome.....
 
Hao unaowaita wazungu huwajui vizuri...

Hakuna binadamu wanaopenda ngono kama wazungu...

Wameenda mbali mpaka kujiwekea parking za magari maalum Kwa ajili ya kunyanduana... Yani hapo ruksa kupaki na kunyanduana...
 
Hatuna muda wa kuinjoy maisha

Mkikutana wapenzi ndani ya wiki mbili tu mmeshabebeshana mimba

Hakuna time ya kufutahia uhusiano wenu utazani nyie ni ng'ombe kwamba mkizaa haraka mnamsaidia mfugaji kupata maziwa na mifugo kuongezeka.

Ona wenzetu weupe wanavyoinjoy,wanaanza na uchumba,wanakaa kwenye uchumba zaidi hata ya miaka miwili bila kunyanduana na hapo unakuta wanafanya safari kibao tu za pamoja mpaka wanakuja afrika mbugani huko no kunyanduana

Hawa wakianza kunyanduana utamu wa hapo sio wa kawaida na utamuona mpenz wako ni mtu mtamu kuliko kiumbe chochote duniani maana miili inakuwa ishatamaniana muda mrefu mpaka basi.

Na wakianza kunyanduana hawakimbilii kuzaa fasta kama wanakimbizwa,wanaweza kunyanduana kwa miaka miwili tena kabla ya kuanzisha familia

Na wote wanakuwa wapapanaji hakuna mtu kukaa na kumtegemea mwenzie kila mtu anafanya kazi na kujilipia bills zake,hata wakikaa pamoja lazima kila mtu alipe bills kwa kusaidiana sio huku kwetu dada zetu wanaishi kwa kumtegemea mwanaume!

View attachment 2049550
Tueleze basi wanawezaje!! wanatumia njia zipi nasisi tuanze kutumia
 
Tueleze basi wanawezaje!! wanatumia njia zipi nasisi tuanze kutumia
Wanachoangalia zaid ni bajeti,huwa wanajiuliza maswal haya:-
-je,huu n wakat sahihi wa kuwa na mtoto
-je,tunahitaj watoto wangap na kwa muda gan
-je,kwa hik kpato chetu tunaweza kuwatunza watoto
-je,watoto wangap watatufaa
-je,tunaendana na tunafaa kuwa wanandoa
 
Back
Top Bottom