Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!



Mkuu wewe unaetaka atumie asilimia moja wewe naomba utimie asilimia 0.1% kwenye rule of Ruling, lazima mtawala awe na watawaliwa. Sifa moja ya mtawala ni kula matunda ya kazi za watawaliwa. Endapo mzungu atamuangamiza mwafrika je atamtawala nani?

Unaungana na mzungu kumlaumu muAfrica mwenzako kwamba anakata miti, je huyo mzungu huko kwao miti yao waliokua nayo ilienda wapi?

Wazungu hawauwi waafrica kwamba kuwafuta kwenye uso wa dunia, wanacontrol, wanalinda idadi isizidi ikawa nje ya uangalizi. Endapo idadi ya waafrica itakua kubwa, basi bara la Africa litatosha kuilisha Africa tuu.

Fatilia viwanda vikubwa vya uzalishaji vilivyopo ulaya, Asia na marekani… Tuchukue TESLA kwa mfano. Hii ni Kampuni kubwa ya uzalishaji wa magari ya umeme ambao malighafi ya battery hizo inachimbwa Congo. Je wakongo wakiwa wengi wakajenga mpaka kwenye mavuno ya malighafi hizi kampuni hizo zitaendelea?
 
 
 
 
 
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kawaida kwa mama kuzaa watoto kumi na kuendelea, hakuna aliyekosa chakula wa mahala pa kuishi.
Strategy ya wazazi wa zamani ilikuwa ni ya kinyonyaji.
Anazaa watoto 12, ili hawa sita wa kwanza, walee sita wa mwisho.
Kiri hapa kuwa watoto wote 11 mlilelewa na baba na mama na kuwa hakuna hata mmoja wenu alilelewa/ kusomeshwa na kaka, dada au ndungu!
 
Kama unakiri ni survival strategy, so be it.
 
Piga Kima haooooo , usipokua na akili sawasawa utaishia kufwa tu , miafrika ndivyo tulivyo
 
 
Nimesoma hapo mwanzo tu, nikacheka. Hivi unajua tofauti ya ‘Population control’ na ‘Population extermination’? Wanachofanya ni hicho cha kwanza, ila unakurupuka kama umevamiwa chooni na kuleta assertions kwamba mimi nimesema hicho cha pili. Hopeless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…