Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Tumia walau hata 1% ya uwezo wako kufikiri tu, wazungu wangetaka kuwamaliza ingekuwa simple sana na wasingetumia hizo njia ndeefu za kuwahimiza mtumie uzazi wa mpango

Mnaagiza, nguo, dawa, vinywaji kama cocacola, sijui maji, juice, kutoka kwa wazungu, mkikumbwa na janga wazungu ndio wanawapa dawa na vyakula, sasa wazungu wangeamua kuweka kemikali zinazoua taratibu na au kuondoa uwezo wa kuzaa wasingeweza?

Vifaa vya umeme, ujenzi, magari, mafuta, vifaa vya jikoni n.k wangeamua kuviwekea hata kemikali zinazoua taratibu au kuharibu vizazi wasingeweza?

Hitler aliua wayahudi milioni 6 miaka ya 1940s, kwa kutumia sumu, silaha na njaa hivi wazungu wangetaka kuuwa Waafrika kipindi kile wanawatawala wasingeweza?


Mpo overpopulated kwa sababu hamuwezi kujilisha, mnaharibu vyanzo vya maji ,misitu, masalia ya samaki, hamuwezi kulima kilimo chenye tija, kila mwaka ikitokea ukame kidogo tu mnakufa kama kumbikumbi sababu mnategemea mvua hadi karne hii..! Kenya hapo mvua imekata kunyesha kidogo tu watu wanakufa tayari, likitokea janga kidogo mpaka wazungu waje wawasaidie

mfano nisaada ambayo mnapewa na wazungu kwenye kila janga kimbunga hapo msumbiji, malawi na zimbabwe, janga la ebola hapo DRC, na Afrika magharibi, Malaria mnapewa misaada ya dawa, UKIMWI ndio nyie mnaongoza mnapewa misaada ya ARV na Condom, Miji yenu hamuwezi kuipangilia, Hamna mifumo mizuri ya maji taka na maji safi, mpaka mje muwekewe na wazungu au wachina, milipuko ya kipindupindu haiishi

Wazungu unawaita mashetani ila kama sio hao wazungu pengine Ukimwi, njaa, ebola, na malaria zingekwishawamaliza nyie WATU WEUSI


Vijana wenu wanajitoa mhanaga ili tu wafike Ulaya au Uarabuni kufanya kazi za ndani

Yaani Waafrika hamuwezi kujiendesha na kujisimamia wenyewe kwa mpangilio mzuri mkiwa wachache kiasi hiki, mkizaliana na kujilimbikiza si ndio itakuwa balaa kabisa?

Mnapikia mkaa manakata miti yenu kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba ndani ya miaka 50 ijayo mnaweza mkawa mmeimaliza, na vyanzo vya maji kukauka, hamuwaonei huruma hao watoto mtakao wazaa watakavyoteseka? Au unafikiri watazamia Ulaya na watapokelewa?

hamuwezi kutengeneza bidhaa zozozte zile, viwanda vya maana kwenye nchi zenu vinaendeshwa na na wahindi au waarabu vingine vyote mnaotoa China ama Ulaya

Inafaa mzaliane kwa uangalifu mpaye watoto mtakaoweza kuwapa huduma bora za afya, chakula, malezi na elimu bora,
Pengine wakiwa na elimu bora wataweza kujimudu zaidi kuliko kizazi cha sasa


Mkuu wewe unaetaka atumie asilimia moja wewe naomba utimie asilimia 0.1% kwenye rule of Ruling, lazima mtawala awe na watawaliwa. Sifa moja ya mtawala ni kula matunda ya kazi za watawaliwa. Endapo mzungu atamuangamiza mwafrika je atamtawala nani?

Unaungana na mzungu kumlaumu muAfrica mwenzako kwamba anakata miti, je huyo mzungu huko kwao miti yao waliokua nayo ilienda wapi?

Wazungu hawauwi waafrica kwamba kuwafuta kwenye uso wa dunia, wanacontrol, wanalinda idadi isizidi ikawa nje ya uangalizi. Endapo idadi ya waafrica itakua kubwa, basi bara la Africa litatosha kuilisha Africa tuu.

Fatilia viwanda vikubwa vya uzalishaji vilivyopo ulaya, Asia na marekani… Tuchukue TESLA kwa mfano. Hii ni Kampuni kubwa ya uzalishaji wa magari ya umeme ambao malighafi ya battery hizo inachimbwa Congo. Je wakongo wakiwa wengi wakajenga mpaka kwenye mavuno ya malighafi hizi kampuni hizo zitaendelea?
 
 
 
 
 
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kawaida kwa mama kuzaa watoto kumi na kuendelea, hakuna aliyekosa chakula wa mahala pa kuishi.
Strategy ya wazazi wa zamani ilikuwa ni ya kinyonyaji.
Anazaa watoto 12, ili hawa sita wa kwanza, walee sita wa mwisho.
Kiri hapa kuwa watoto wote 11 mlilelewa na baba na mama na kuwa hakuna hata mmoja wenu alilelewa/ kusomeshwa na kaka, dada au ndungu!
 
Strategy ya wazazi wa zamani ilikuwa ni ya kinyonyaji.
Anazaa watoto 12, ili hawa sita wa kwanza, walee sita wa mwisho.
Kiri hapa kuwa watoto wote 11 mlilelewa na baba na mama na kuwa hakuna hata mmoja wenu alilelewa/ kusomeshwa na kaka, dada au ndungu!
Kama unakiri ni survival strategy, so be it.
 
Piga Kima haooooo , usipokua na akili sawasawa utaishia kufwa tu , miafrika ndivyo tulivyo
 
 
ni dhana uliyojipandikizia kwenye uelewa wako ambayo inawezekana kabisa isiwe kweli. na ni ukweli tu kwamba sio kweli. najiuliza sana kwa uliyoyaeleza kwenye dhana yako, kwa nini mzungu ahangaike kwa kipindi kirefu sana na kwa gharama kubwa sanasana kuhakikisha afrika inabaki plain, haina mwafrika!!!!, wamehangaika na polio,ndui,malaria,matende,mabusha, n.k, halafu pia najiuliza africa likiwa bara tupu then what!!??!!, yaani mfanyabishara ukawauwe wateja wako,then what??!!??. wazungu wa ulaya iliyofanya mapinduzi makubwa ya viwanda miaka ile ikiwemo marekani pia, walitumia pesa nyingi sana kuwekeza kwenye sekta za kiuchumi kwenye nchi za ulaya zilizokuwa nyuma kimaendeleo hasa ulaya mashariki, moja ya sababu kubwa ilikuwa kupunguza wahamiaji kutoka mashariki kuja magharibi, walitaka wabaki kulekule. hivyo leo wakilalama kuhusu kuongezeka kwetu kwa kasi na wakati huohuo hatuwezi kabisa kubadili uchumi wetu kuendana na kasi ya ongezeko letu, naona wana hoja. kwa sababu wanatumia pesa nyingi za walipa kodi wao kuja kutusaidia kuanzia madawa mpaka chakula. kwa maoni yangu tusipoteze muda kuwafikiria negative hawa jamaa, tupoteze muda kufikiria tutajikwamuaje kutoka hapa tulipo kwa kuwatumia wao
Nimesoma hapo mwanzo tu, nikacheka. Hivi unajua tofauti ya ‘Population control’ na ‘Population extermination’? Wanachofanya ni hicho cha kwanza, ila unakurupuka kama umevamiwa chooni na kuleta assertions kwamba mimi nimesema hicho cha pili. Hopeless.
 
Back
Top Bottom