Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Naona umefanya baadhi ya marekebisho licha ya kuwa bado swali halija kaa sawa.China, India, USA, Russia, wamefanana vitu gani? Kiidadi ya watu na kiuchumi, kuna taifa masikini hapo? Watu wake wanaweza kuwa masikini ndio, lakini hayo ni mataifa yenye nguvu sababu ya idadi kubwa ya watu
Wewe unaeifahamu iweke hapa na uco-relate na hoja yangu hiyo, kwamba nchi hizo zote zenye idadi kunwa ya watu ndio wana nguvu duniani, why?!Wacha nikuulize swali moja.
Je, waifahamu hadithi ya maendeleo ya kasi ya kiuchumi ya Uchina ?
Ndio nimeuliza swali kwako ili nipate kujua nacho zungumza je wakifahamu ?! sera ya uzao/mtoto mmoja iliyo dumu kwa zaidi ya miaka 30 ?Wewe unaeifahamu iweke hapa na uco-relate na hoja yangu hiyo, kwamba nchi hizo zote zenye idadi kunwa ya watu ndio wana nguvu duniani, why?!
Ni wapi nilisema naifahamu?Ndio nimeuliza swali kwako ili nipate kujua nacho zungumza je wakifahamu ?! sera ya uzao/mtoto mmoja iliyo dumu kwa zaidi ya miaka 30 ?
Nime kuuliza swali.Ni wapi nilisema naifahamu?
Wewe tumia hicho unachokifahamu kujibu hoja yangu, juu ya ukubwa wa uchumi na ukubwa wa idadi ya watu?
Ni hatua gani U.S.A, Uchina, India, Urusi walichukua ili kupata maendeleo hili ni swali la msingi msana unalo paswa kujiuliza ?Ukiniambia niangalie Botswana na mimi nitakuambia uangalie USA, Russia, China na India, what do they have in common?
Sijui, wewe unaejua eleza huku ukijibu hoja sasaNime kuuliza swali.
Kwa sababu ume ihusisha Uchina katika moja wapo ya maelezo yako kuhusu maendeleo yake na sababu ya ukubwa wa population yake.
Sawa, sasa si utueleze hizo hatua ili na sisi tuzichukue, ila jibu sasa hoja ya co-relation ya idadi ya watu na ukubwa wa uchumi wa hizo nchiNi hatua gani U.S.A, Uchina, India, Urusi walichukua ili kupata maendeleo hili ni swali la msingi msana unalo paswa kujiuliza ?
Nimekwisha kuuleza kuhusu sera ya One Child Policy iliyo chukuliwa na serikali. soma post ya kwanza niliyo repy.Sawa, sasa si utueleze hizo hatua ili na sisi tuzichukue, ila jibu sasa hoja ya co-relation ya idadi ya watu na ukubwa wa uchumi wa hizo nchi
Kwahiyo hiyo Sera ndio imesababisha China kuwa na watu wengi au umaanisha nini?Nimekwisha kuuleza kuhusu sera ya One Child Policy iliyo chukuliwa na serikali. soma post ya kwanza niliyo repy.
Tabla lasa, nyumbu, ndondocha, 15% ni robo ya watu wote duniani!?Hao ni wengi sana 15% si unajua hiyo ni robo ya watu wote duniani.
Yaani hiyo 85% ndio wagawane hapo watu wa asili zinginezo.
Ila hivi wachina ni % ngapi pamoja.na wahindi pia.
Suala la watu wengi halina mahusiano na maendeleo ya China mfano ni hiyo sera niliyo kuuleza ambayo serikali ilichukua kudhibiti ongezeko la watu.Kwahiyo hiyo Sera ndio imesababisha China kuwa na watu wengi au umaanisha nini?
Hoja ni kujua uhusiano wa idadi ya watu wa hizo nchi na ukubwa wa uchumi wao? Ili tuone kama idadi kubwa ya watu ina co-relate vipi na ukubwa wa uchumi?
Na nchi zingine kama USA, Russia, India, hizi zote ni coincidence pia? Idadi ya watu kuwa kubwa na uchumi kuwa wenye nguvu, hii pia ni bahati mbaya, sivyo?Suala la watu wengi halina mahusiano na maendeleo ya China mfano ni hiyo sera niliyo kuuleza ambayo serikali ilichukua kudhibiti ongezeko la watu.
Kila taifa lilichukua hatua zake kupata maendeleo ya kasi ya kiuchumiNa nchi zingine kama USA, Russia, India, hizi zote ni coincidence pia? Idadi ya watu kuwa kubwa na uchumi kuwa wenye nguvu, hii pia ni bahati mbaya, sivyo?
Safi, hata Afrika tumeshaanza, Mfano Rufiji hydropower, SGR nk, hizizote zinahitaji watu wa kutosha, Afrika ni ya pili kwa ukubwa duniani...Kila taifa lilichukua hatua zake kupata maendeleo ya kasi ya kiuchumi
Hii idadi ya watu mliyo nayo mmeiendeleza kwa kiwango gani ?Safi, hata Afrika tumeshaanza, Mfano Rufiji hydropower, SGR nk, hizizote zinahitaji watu wa kutosha, Afrika ni ya pili kwa ukubwa duniani...
Asilimia 50%, malengo ni kufika 100% kwa kutumia rasilimali kama Rufiji Hydropower damHii idadi ya watu mliyo nayo mmeiendeleza kwa kiwango gani ?
Afrika nimeishi nafahamu mengi kuhusu Afrika kiukweli bado ipo nyuma sana haihitaji watu kuendelea kuongezeka bila kudhibitika.Asilimia 50%, malengo ni kufika 100% kwa kutumia rasilimali kama Rufiji Hydropower dam