Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

waafrica sisi ni wajinga sana. kila nikienda kijijni nakuta uharibifu mkubwa mno wa mazingira hadi unashangaa yaani hatujui kujiongoza. siku tukipata akiri tutakuwa mbaali sana ila sio leo wala kesho.
 
Kwani kizazi cha black people kikimalizwa wewe una hasara gani?

Au tukizaliana sana tukawa wengi kuliko weupe kuna faida gani?
 
Hivi kwanini leo hii ni ngumu mtu kupata watoto 10-13? RRONDO
 
Kwani kizazi cha black people kikimalizwa wewe una hasara gani?

Au tukizaliana sana tukawa wengi kuliko weupe kuna faida gani?
Kama hiyo akili tu ya kujijibu hayo maswali huna basi hukufaa kuingia kwene huu uzi!!
Nenda facebook kwa watoto wenzio
 
Kama hiyo akili tu ya kujijibu hayo maswali huna basi hukufaa kuingia kwene huu uzi!!
Nenda facebook kwa watoto wenzio
Hayo maswali siyo marahisi kama unavyodhani.

Ulishawahi kusikia kitabu kinaitwa WHY DOES THE WORLD EXIST?

Kwa hoja ya kuniambia niende facebook, nitaenda, na ninataka kukutaarifu kuwa, JF siku hizi watu wenye upeo wanazidi kuipa kisogo, wanawapisha nyie msiojua hata maana ya mijadala.

JF ilikuwa zamani, siyo leo ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…