Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Kwani kizazi cha black people kikimalizwa wewe una hasara gani?

Au tukizaliana sana tukawa wengi kuliko weupe kuna faida gani?
Hao ni wanaharakati uchwara wa overpopulation.
 
Afrika nimeishi nafahamu mengi kuhusu Afrika kiukweli bado ipo nyuma sana haihitaji watu kuendelea kuongezeka bila kudhibitika.

Ongezeko la watu lisipo zuiliwa umasikini utaendelea kuongezeka Afrika serikali za Afrika zibadilike
Sahihi
 
Tuzaliane hadi tukajenge ndani ya bahari na tukalime chini ya ardhi nakuunga ✋✋
 
Sina cha kuongeza.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…