FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #81
Ukiweza kuprove your sanity nami nitaleta proof.Usijifiche kwenye story za vijiwe kwamba "inasemekana au wanasema au sijui journal gan " prove hapa madai yako ikibidi utoe hata mifano miwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umezaliwa tu huko lakini naamini you are not one of themTumia walau hata 1% ya uwezo wako kufikiri tu, wazungu wangetaka kuwamaliza ingekuwa simple sana na wasingetumia hizo njia ndeefu za kuwahimiza mtumie uzazi wa mpango
Mnaagiza, nguo, dawa, vinywaji kama cocacola, sijui maji, juice, kutoka kwa wazungu, mkikumbwa na janga wazungu ndio wanawapa dawa na vyakula, sasa wazungu wangeamua kuweka kemikali zinazoua taratibu na au kuondoa uwezo wa kuzaa wasingeweza?
Vifaa vya umeme, ujenzi, magari, mafuta, vifaa vya jikoni n.k wangeamua kuviwekea hata kemikali zinazoua taratibu au kuharibu vizazi wasingeweza?
Hitler aliua wayahudi milioni 6 miaka ya 1940s, kwa kutumia sumu, silaha na njaa hivi wazungu wangetaka kuuwa Waafrika kipindi kile wanawatawala wasingeweza?
Mpo overpopulated kwa sababu hamuwezi kujilisha, mnaharibu vyanzo vya maji ,misitu, masalia ya samaki, hamuwezi kulima kilimo chenye tija, kila mwaka ikitokea ukame kidogo tu mnakufa kama kumbikumbi sababu mnategemea mvua hadi karne hii..! Kenya hapo mvua imekata kunyesha kidogo tu watu wanakufa tayari, likitokea janga kidogo mpaka wazungu waje wawasaidie
mfano nisaada ambayo mnapewa na wazungu kwenye kila janga kimbunga hapo msumbiji, malawi na zimbabwe, janga la ebola hapo DRC, na Afrika magharibi, Malaria mnapewa misaada ya dawa, UKIMWI ndio nyie mnaongoza mnapewa misaada ya ARV na Condom, Miji yenu hamuwezi kuipangilia, Hamna mifumo mizuri ya maji taka na maji safi, mpaka mje muwekewe na wazungu au wachina, milipuko ya kipindupindu haiishi
Wazungu unawaita mashetani ila kama sio hao wazungu pengine Ukimwi, njaa, ebola, na malaria zingekwishawamaliza nyie WATU WEUSI
Vijana wenu wanajitoa mhanaga ili tu wafike Ulaya au Uarabuni kufanya kazi za ndani
Yaani Waafrika hamuwezi kujiendesha na kujisimamia wenyewe kwa mpangilio mzuri mkiwa wachache kiasi hiki, mkizaliana na kujilimbikiza si ndio itakuwa balaa kabisa?
Mnapikia mkaa manakata miti yenu kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba ndani ya miaka 50 ijayo mnaweza mkawa mmeimaliza, na vyanzo vya maji kukauka, hamuwaonei huruma hao watoto mtakao wazaa watakavyoteseka? Au unafikiri watazamia Ulaya na watapokelewa?
hamuwezi kutengeneza bidhaa zozozte zile, viwanda vya maana kwenye nchi zenu vinaendeshwa na na wahindi au waarabu vingine vyote mnaotoa China ama Ulaya
Inafaa mzaliane kwa uangalifu mpaye watoto mtakaoweza kuwapa huduma bora za afya, chakula, malezi na elimu bora,
Pengine wakiwa na elimu bora wataweza kujimudu zaidi kuliko kizazi cha sasa
Mablck walalamikaji sana hata kama yakizaliwa MAREKANI.Tuna brain gani tishio kwa Mzungu mpaka waumize vichwa kutumaliza hapa duniani.Okay jibu kwanza haya maswali.
1. Watapata hasara gani Waafrika tukiwa wengi?
2. Watapata faida gani tukiwa wachache?
3. Kwanini Waafrika na sio Waasia walio tishio kiuchumi?
Zaa wengi ili uongeze speed ya kuzeeka kwakoHalafu cha ajabu wanaoswma hivyo ni wasomi wetu. Hili swala la kupangiana kuzaa huwa silikubali kabisa.
None sense.Jinga kweli wewe, hujiulizi kwanini miaka ya sitini tu hapo mwanamke alikuwa akizaa watoto wachache basi ni watoto 12, mimi mwenyewe baba yangu ni mtoto wa 11 kati ya watoto 12 tena bila operesheni na kajifungulia nyumbani, wote walizaliwa salama! sasa nionyeshe ni wamama wangapileo hii wanauwezo wa kuzaa kama hivyo, kushika hata mimba moja tu hadi mkatapeliwa kwa dokta mwaka na kwa Mwingira, na tena kuzaa ni kwa operesheni, we huoni kuna vitu ambavyo tayari tunalishwa kidogo kidogo?
Jibu hoja
Huna hoja mkuu ,,,sisi tupambaneni na matatizo yetu tusiwe watu wa kutoa lawama tu wakati matatizo makubwa tunayo sisi hukuUkiweza kuprove your sanity nami nitaleta proof.
Jikite kwenye mada twende sawaHuna hoja mkuu ,,,sisi tupambaneni na matatizo yetu tusiwe watu wa kutoa lawama tu wakati matatizo makubwa tunayo sisi huku
Sent using Jamii Forums mobile app
WE PAKA SANA INAONEKANA DADA YAKO AU MAMA YAKO KAOLEWA NA WAZUNGU HAO. NCHI YA GHANA WALIBAINI CHANJO ZILIZOWEKWA VIRUSI NA HATA KENYA MWAKA JANA NAO WALIBAINI HIVYO HIVYO NASHANGAA WENGINE MNAWASHOBOKEA HAWA MASHETANI WEUPE
Jikite kwenye mada twende sawaAsilimia 60 ya watanzania wanatumia simu zao kuangalia porn..HATUPONI
you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Hakuna maada mkuu hizo ni hisia zako na inferiority complex tuu za wengi wetu,,,,sisi tu nn mpaka kufikia hatua ya kuwa tishio kwao ,,,,hivi mkuu hujui huduma nyingi zikiwemo za kiafya unapata kwa hisani yao?Jikite kwenye mada twende sawa
Majasusi baadhi wameshakiri kufanya haya, kuna mpango uliokuwa unaitwa 'The Tuskegee experiment' ambapo watu weusi waliambukizwa ugonjwa wa 'Syphylis' kwa makusudi ili kuwauwa, na wamarekani walikiri nakutuomba msamaha, sasa hiyo ni mifano michache. Najiuliza, ni hisia zangu kivipi wakati waliofanya wameshakiri na kuomba msamaha?Hakuna maada mkuu hizo ni hisia zako na inferiority complex tuu za wengi wetu,,,,sisi tu nn mpaka kufikia hatua ya kuwa tishio kwao ,,,,hivi mkuu hujui huduma nyingi zikiwemo za kiafya unapata kwa hisani yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika !Labda kwenye sanaa.Wanasema mtu mweusi ni "Jinias" sana akipata nafasi kuliko hao waAsia
Majasusi baadhi wameshakiri kufanya haya, kuna mpango uliokuwa unaitwa 'The Tuskegee experiment' ambapo watu weusi waliambukizwa ugonjwa wa 'Syphylis' kwa makusudi ili kuwauwa, na wamarekani walikiri nakutuomba msamaha, sasa hiyo ni mifano michache. Najiuliza, ni hisia zangu kivipi wakati waliofanya wameshakiri na kuomba msamaha?
============================
Tuskegee syphilis experiment - Wikipedia
=============================
Open main menu
Search
Tuskegee syphilis experiment
Learn more
This article may require cleanup to meet Wikipedia's quality standards. The specific problem is: organization
A doctor draws blood from one of the Tuskegee test subjects
The Tuskegee Study of Untreated Syphilis in the Negro Male[a] was an infamous and unethical clinical study conducted between 1932 and 1972 by the U.S. Public Health Service.[1][2] The purpose of this study was to observe the natural history of untreated syphilis; the African-American men in the study were told they were receiving free health care from the United States government.[3]
The Public Health Service started working on this study in 1932 in collaboration with Tuskegee University, a historically black college in Alabama. Investigators enrolled in the study a total of 600 impoverished, African-American sharecroppers from Macon County, Alabama. Of these men, 399 had previously contracted syphilis before the study began, and 201 did not have the disease.[2] The men were given free medical care, meals, and free burial insurance for participating in the study. The men were told that the study was only going to last six months, but it actually lasted 40 years.[2] After funding for treatment was lost, the study was continued without informing the men that they would never be treated. None of the men were told that they had the disease, and none were treated with penicillin even after the antibiotic was proven to successfully treat syphilis. According to the Centers for Disease Control, the men were told that they were being treated for "bad blood", a colloquialism that described various conditions such as syphilis, anemia, and fatigue. "Bad blood"—specifically the collection of illnesses the term included—was a leading cause of death within the southern African-American community.[2]
The 40-year study was controversial for reasons related to ethical standards. Researchers knowingly failed to treat patients appropriately after the 1940s validation of penicillin was found as an effective cure for the disease that they were studying. The revelation in 1972 of study failures by a whistleblower, Peter Buxtun, led to major changes in U.S. law and regulation on the protection of participants in clinical studies. Now studies require informed consent,[4]communication of diagnosis, and accurate reporting of test results.[5]
By 1947, penicillin had become the standard treatment for syphilis. Choices available to the doctors involved in the study might have included treating all syphilitic subjects and closing the study, or splitting off a control group for testing with penicillin. Instead, the Tuskegee scientists continued the study without treating any participants; they withheld penicillin and information about it from the patients. In addition, scientists prevented participants from accessing syphilis treatment programs available to other residents in the area.[6] The study continued, under numerous US Public Health Service supervisors, until 1972, when a leak to the press resulted in its termination on November 16 of that year.[7] The victims of the study, all African American, included numerous men who died of syphilis, 40 wives who contracted the disease, and 19 children born with congenital syphilis.
The Tuskegee Syphilis Study, cited as "arguably the most infamous biomedical research study in U.S. history",[8] led to the 1979 Belmont Report and to the establishment of the Office for Human Research Protections (OHRP).[9] It also led to federal laws and regulations requiring Institutional Review Boards for the protection of human subjects in studies involving them. The OHRP manages this responsibility within the US Department of Health and Human Services (HHS).[10]
On May 16, 1997, President Bill Clinton formally apologized on behalf of the United States to victims of the experiment.
History
Study termination
Aftermath
Ethical implications
In popular culture
See also
Notes
References
Further reading
External links
Last edited 20 days ago by Susmuffin
Content is available under CC BY-SA 3.0 unless otherwise noted.