Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Back wenzako kule USA wanakwisha kwa kushadadia sera za kipumbavu za kiliberali za kutoa mimba,Wanajiita pro choice.40% ya abortions kule USA kwa mwaka ni watoto wa blacks..Black population inapungua USA kila mwaka sababu ya huu upuuzi,lakini bado hawajielewi wamekuwa wajinga wajinga tu.Thanks God kuna baadhi ya Blacks wamegundua hili na wanapiga kelele sana,
 
mwambie huo pimbi......Africa lazima tuzae snaaa
 
 
Update: 07/07/2019
Rais Magufuli aniunga mkono leo wakati akimpokea Uhuru Kenyatta. Asema haya
"

Nchi zenye watu ndio zenye maendeleo makubwa. China na India zina watu wengi sana. Sisi Tanzania tupo Milioni 55 na kuzaliana sio shida. Watu wakiwa wengi uchumi unakua, bora kuwa na watu wengi wanaofanya kazi. Ndio maana nchi za Ulaya zinaungana"
 
Waafrica hatupendi kufanya kazi halafu tunapenda kuzaliana, halafu misaada tunawatengemea wazungu wacha tu watumalize, kwanza Waafrica sioni kama tuna faidi sana sana ss ni mizingo tu
Siyo hawapendi kufanya kazi bali kazi hazina masilahi. Fanya research ya pesa anayolipwa mtu anayefanya kazi ya kuzoa takataka Afrika na Marekani.
Hivi mpiga debe anayeamka asubuhi anayepewa mia kila gari na analala saa 6 usiku utasema hapendi kufanya kazi? Sema hatuna mikakati ya maendeleo. Kuna watu walinzi wanalipwa laki 120,000 kwa mwezi utasema hapendi kufanya kazi? Think Big
Wewe unayefanya kazi umejenga hata kiwanda au umefungua biashara kubwa inayoitangaza nchi yako?
Hakuna mikakati thabiti ya maendeleo Tanzania. Mtu anafikiri akifanya kazi akiingiza 5,000 basi wengine hawafanyi kazi. Hivi Marekani wangekuwa wanafanya kazi kama sisi tunavyofanya wangekuwa hapo walipo?
Tunataka nchi iwe inajitegemea kwa kila kitu, viwanda vya nguo viwe hapa, simu, magari n.k siyo upate hela ya kula na kuendesha gari tu.
 
Watu wengi bila kuwa na teknolojia na vyanzo vingi vya mapato ni sawa na kazi bure. China amefikia mpaka hapo kwa sababu ya teknolojia na sayansi. Silaha anatengeneza mwenyewe, simu, magari, nguo nk anatengeneza yeye mwenyewe. Hapa Bongo kila kitu tunaagiza, korosho imetutoa jasho. China na india wanatafuta masoko ya bidhaa zao nchi zingine na kuwekeza. Afrika kuna viwanda vingi sana vya wahindi na wachina tena wanafadhiliwa na nchi zao. Mchina hategemei sana soko la ndani anategemea, soko nje kama Afrika, Marekani na nchi zingine. Turudi bongo, unafuta ajira (Walimu na madaktari wapo mtaani), unatumbua watu wanaingia mtaani wanaanza kuuza mitumba. Unategemea nchi itaendelea? Jembe la mkono kila mahali, umekataza watu kuuza mazao nje ya nchi. Unafikiri nchi itapiga hatua?
Kuwa watu wachache ndiyo fursa ya kuwa na maendeleo ni sawa una watoto wawili unashindwa kuwalisha halafu unategemea ukifikisha watoto 10 ndiyo uwanze kuwalea. Haitawezekana, unawaza wakiwa wengi upate kodi? Utasubiri sana
Ukienda kwenye shule na hospitali mpaka huko vijijini utagundua kuna uhaba mkubwa sana wa walimu na madaktari lakini cha kushangaza walimu na madaktari wapo mtaani hawana kazi.
Kama umeshindwa kuwalisha watoto 2 usitegemee ukipata watoto 10 utawalisha. Wingi wa watu siyo kigezo cha maendeleo
 
Ukiwa na watu wengi ambao hawafanyi kazi, hiyo hoja yako ni kweli, na ndio maana dira ni kuwa na viwanda vya kila aina, naona kwa sasa Tanzania inaviwanda vya tiles kule Mkuranga na Chalinze, zamani tulikuwa tunaagiza toka nje, ila watu bado ni rasilimali muhimu, tukiwa wengi automatic mahitaji yanaongezeka, na fursa nyingi zaidi hujitokeza. Mfano Dar inaringia nini kama sio idadi kubwa ya wakazi, ila haimaanishi kwamba wote hapa Dar wanamaisha mazuri.
 
Africa kila siku njaa zinaua watu. Afrika imeshindwa kunihudumia in general
Afrika haijashindwa kujilisha, na at full potential (with the right population) basi tunaweza kuilisha dunia.
 
Hehehehe
 
You said it all
 
Watu weusi iko shida ..... imagine Mataifa yao Yana kila Aina ya rasilimali tija. .Lakini huwa Wana changiwa mpaka Mahindi ili waweze kupata chakula
 
Bandiko lako limebeba ujumbe mzito sana hili
 
Overpopulation haipimwi kwa kujilinganisha na wengine. Inapimwa kwa kuangalia resources zako.

Tanzania kwa kasi ya sasa ya kuongezeka watu, ina double population kila miaka 23.
 
Africa kila siku njaa zinaua watu. Afrika imeshindwa kunihudumia in general
Afrika ina mali nyingi sana kuliko hata ulaya na Marekani. Kinachotukwamisha Afrika ni viongozi waroho na walafi wamadaraka. Wenyewe wanangalia matumbo yao na vitu. Utakuta kiongozi yupo radhi afute ajira za watu laki 2 lakini ajenge reli. Maendeleo yanaanza kwa watu kisha vitu. Huwezi kununua TV wakati ndani hakuna chakula.
Tanzania kuna mali nyingi sana lakini viongozi wanawapa watu wa nje mfano gesi, dhahabu, n.k yaani mtu anabnafsisha madini, mbuga za wanyama, ziwa, gesi n.k lazima tubaki maskini. Wawekezaji walitakiwa wajenga hotel, viwanda n.k yaani wapewe sehemu ambazo hazina mali
Hizi mali ambazo tunazo angepewa hata mwarabu angekuwa mbali sana. Tanzania ingekuwa kama Libya wananchi wote wangekuwa katika hali mbaya. Mungu aliwapendelea sana. Wafrika walipewa nchi zenye mali maana wangepewa kama nchi za kiarabu wafrika wangetoweka duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…