Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Nadhani hiyo ni athari ya micro overpopulation ya pocket husika, nadhani sababu ya wakimbizi, tunaongelea Africa as a whole.
Sijakuelewa ni kivipi athari ya mic overpopulation!!??

Nite; Kuna wasukuma wengi Sana wamehamia maeneo ya Mpanda, mpakani mwa Tabora na Kigoma, Morogoro vijinini (kisaki,dutumi,Kongo) mpakani na hifadhi ya taifa ya Selou kote huko wakata miti hatari mbaya zaidi ile ya asili ukame ambayo kukuwa kwake inachujuwa miaka mingi sana
 
Nyerere alisema watajitokeza watetezi wa mabeberu, mimi sikubaliani nawe maana wazungu syo wema kwa afrika , mfano walituletea dini na sheria zake leo hii wamegeuka waliyosema vitabu vya Mungu havitaki tufanye kwa sasa wanatuambia haki za binadamu ni zaidi ya maandiko matakatifu , wanataka tufi**ne uhaini usiofaa kabisa , hivyo hayo mazuri unayo waelezea ukichukua na mabaya yao maovu ni mengi zaidi ya hayo mema uliyotaja.
 
Katika kupitia uzi,hatimae nikatambua kuwa hii hoja ya kikereketwa kuliko kitaalamu. Hii rasilimali watu ya sasa tumeshindwa kuipolish tu nataka kutupa lawama za "kichizi" kwa wazungu, tukomae tu na kazi,
 
Katika kupitia uzi,hatimae nikatambua kuwa hii hoja ya kikereketwa kuliko kitaalamu. Hii rasilimali watu ya sasa tumeshindwa kuipolish tu nataka kutupa lawama za "kichizi" kwa wazungu, tukomae tu na kazi,
Hayo ni maoni yako
 
 
Were ni mzungu Wewe ni mzungu? Kama n mzungu jihadhari na jua maana ozone mshaitoboa na moshi wa viwanda,hivyo mmejiua wenyewe.Japo mnajua ozone inaharibika lakini mnaendelea na uharibifu na sasa wachina wamewaunga mkono ktk sekta ya uharibifu wa dunia.Kama wewe sio mzungu basi unaugonjwa wa akili unaoitwa ''ugonjwa was kuwapenda wazungu kuliko kujipenda mwenyewe".Pole.
 
 
Umemaliza kila kitu....kwa comment yako hii..huu uzi umeufunga kabisa..mtoa mada aje asome aelewe
 

Wasomi uchara wa Africa wanao kaririri masomo zaidi ya kuelewa ndio wanaiangusha Africa. Anacho zungumza ni mlinganisho (relativity) kuliko uhalisia absolutism. Kwamba sisi ni only 15% ndio kigezo cha kuzaliana bila mpango? Amesha tembelea shule zenye Dara’s a la watoto 200 bado tunaita darasa badala ya mkutano. Amesha enda martenity ward wamama wanalala mzungu wa none na hawaruhusiwi kupiga picha? Hoja dhaifu tuwe na watu wengi ndio uchumi utakuwa. Angalie uchumi wa Botswana watu milioni tatu na Namibia ndio ukurupuke na usomi Feki.
 
Ukiniambia niangalie Botswana na mimi nitakuambia uangalie USA, Russia, China na India, what do they have in common?
 
 
Mbona wewe unajitoa kwenye kundi la Kiafrika au wewe ni Mwarabu koko nini?
 
By 2050 population ya Africa itakuwa kati ya zinazo explode sana duniani. Zikiongozwa na India. Angalia jedwali hapa:
 

Attachments

  • IMG-20190911-WA0019.jpg
    73.1 KB · Views: 22
Maelezo ya hilo jedwali haya hapa;
World population is expected to increase by 2 billion in the next 30 years, from 7.7 billion currently to 9.7 billion in 2050, according to a report published by the United Nations.

According to estimates presented in United Nations’ report, the global population will reach 9.7 billion by 2050. India is expected to surpass China as the world’s most populous country by 2027. The largest demographical increase will take place in India, Nigeria, Pakistan, the Democratic Republic of the Congo, Ethiopia, the United Republic of Tanzania, Indonesia, Egypt and the United States of America. These nine countries will make up for more than a half of the projected growth in the time period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…