Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Nimekuuliza kwako overpopulation NI nini? Sijakuuliza SIO nini.
Unaposema ‘kwako’ unamaanisha kila mtu ana definition yake? Si universal? Niulize maana ya overpopulation, na sio overpopulation kwangu, maana mimi sina definition yangu binafsi, nina definition iliyosahihi
 
Na balaa la ukimwi walilotuletea na magonjwa mengine ya kuleta, lazima tutafikia asilimia 2 na hapo ndio tutageuka vivutio vya utalii al maarufu kama endangered species!
Na hii Corona na hizi chanjo zao inabidi tuwe makini sana
 
Na balaa la ukimwi walilotuletea na magonjwa mengine ya kuleta, lazima tutafikia asilimia 2 na hapo ndio tutageuka vivutio vya utalii al maarufu kama endangered species!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nafikiri sio kwamba wanasumbuliwa na idadi yetu ila naona tabia zetu ndio tatizo ni mijitu iliyokosa akili kazi ni kuuana kwa kugombea madaraka,ni mijitu haiambiliki, tumeweka mbele uchawi na ushirikina ni watu hatuamiki yaani unaweza kumsaidia mwenzako kwa pamoja mfanikishe jambo fulani lakini cha ajabu baadaye anatafuta namna ya kukuua mfano angalia ukanda wetu huu kwenye nchi kama Rwanda,Uganda,Burundi,DRC, South Sudan,na Hata kwetu Bongo tunaanza kufuata nyayo taratibu
Hizo tabia zetu zinatofauti na zile za wale waliouza na kununua binadamu wenzao kama mbuzi masokoni?, hivyo ni sahihi kwa wenye tabia hizo kuuwawa ili wabaki wachache? Na pia, mbona hizo tabia ulizotaja ndio tabia zao hao hao mabeberu, kazi kuchochea vita na kuacha watu wakiuana kwa maslahi ya mafuta nk, wanaanzisha vita nchi za watu kwa kugombea madaraka ili kibaraka wao ashike hatamu, wanafitinisha (uchawi) nchi majirani ili wapigane halafu wauze silaha, huko burundi na rwanda na Congo wanaanzisha mapigano ili wachote rasilimali, hizo ni tabia zao na si zetu!
 
Hili la Aborigines ni kweli kabisa...walitaka kuwamaliza wote...hata sasa wamebaki wachache sana...kisiwa cha Tasmania waliwamaliza wote...Some references: Coniston Massacre & Movie:Rabbit Proof Fence
 
Ni ushenzi na ushetani mkubwa sana. Kuna syndicate za kukimaliza kizazi cha black people kama kilivyomalizwa kizazi cha Red Indians huko Marekani. Kampeni kama zile zinazoendeshwa na kina Bill Gates, Makampuni ya mbegu kina Monsanto kwa kuratibiwa na Mashirika kama UNFPA , WHO na kadhalika zina lenga kuhakikisha kizazi cha watu weusi hakiongezeki na kinatoweka baada ya muda hata kama ni mrefu

Jambo la kushangaza ni kwamba watu weusi wa mwanzo kua brain washed na mabeberu hawa ni "wasomi' wetu. Ukieleza kuhusu mbinu chafu hizi zinazofanywa na wazungu basi ujue "wasomi" wetu watakwambia hizo ni Conspiracy Theories tu na hazina uhalisia ingawa ushahidi wa mambo hayo upo wazi kabisa

Ukweli ni kwamba walikua wanaua black race kwa silaha kupitia vita na hata kuchochea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Sasa hivi wanatengeneza magonjwa kwenye maabara ili watu wafe na kupungua njia ambayo wanaona ni more ethical kuliko kuwauwa kwa vita!
Then why kutuletea chanjo za surua, polio, pepopunda, na nyngne, kumlinda mama mjamzito na malaria pamoja na mtt maan walikuwa wanakufa sana watoto chini ya miaka m5? Kwann condom na ARV zitolewe. Kwann majanga tusaidiwe? Kwann tupewe misaada ya vifaa tiba na wataalam? Tupewe scholarships kupeleka kuwapa ujuzi wataalamu wetu? Ndugu yangu haya magonjwa hata kama wanatengeneza wazungu ni uhalifu kama uhalifu mwingine tu ila sio kwamba eti nd lengo. Ukimsikiliza billgate katika report yake alikiri kutaka kucontrol population ila kwasababu muafrica hawezi mudu huduma bora za maisha kwasababu ya familia kubwa. Pia rate ya population bado inaongezeka in relative tu maliasili. Usidhani wao wazungu hawafanyi ngongo tena kule ngono kiroho safi 2 hata kama mtu hamna mahusiano ila swala wanajidhibiti wao pia. Kwahyo kwasababu alshabaab ni waafrica wanaua raia wasio hatia waafrica wanakuwa magaidi? Mbona hitler alikuwa dictator na alikuwa mzungu na alipigwa na hao hao wazungu? Uhalifu ni uhalifu hauna race na muhalifu anaeza target sehemu yoyote ile either kwa chuki binafsi au maslahi fulan ila haiifanyi race yake kuwa wahalifu pia.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sasa mtu mwenye akili anawezaje kutumika na mtu mwingine kuua wenzake,umejizungusha tu lakini umerudi pale pale waafrika ni wapumbavu wanachojali ni ubinafsi tu ndio maana wanatumika kuua na kutesa wenzake kwa tamaa ya madaraka mtu anayejielewa hawezi fanya hivyo
Wanaotumika ni viongozi baadhi wasio waadilifu, na watu wa aina hiyo wapo katika jamii zote duniani, tofauti ni kwamba huku kuna rasilimali na wenye teknolojianya kuzitumia kwa sasa hawapo huku, hivyo huwezi kujumuisha uroho wa baadhi kuwa ni waAfrika wote, ila kikubwa, hizo ni tabia za mabeberu, sio zetu
 
Hili la Aborigines ni kweli kabisa...walitaka kuwamaliza wote...hata sasa wamebaki wachache sana...kisiwa cha Tasmania waliwamaliza wote...Some references: Coniston Massacre & Movie:Rabbit Proof Fence
Ofcourse, unajua kuna watu kubisha ni asili yao tu, hawataki hata kufanya digging kidogo ili wapate maarifa kabla ya kuanza kubisha, wao ni kutetea na kusifia wazungu tu,
 
Je, dawa za haya magonjwa zilishawahi kugundulika ma mwafrika mweusi? Au tunalalama kuwa wanataka kutupunguza huku tukiwategemea watusaidie kuishi kwa madawa yao?[emoji57]
 
Then why kutuletea chanjo za surua, polio, pepopunda, na nyngne, kumlinda mama mjamzito na malaria pamoja na mtt maan walikuwa wanakufa sana watoto chini ya miaka m5? Kwann condom na ARV zitolewe. Kwann majanga tusaidiwe? Kwann tupewe misaada ya vifaa tiba na wataalam? Tupewe scholarships kupeleka kuwapa ujuzi wataalamu wetu? Ndugu yangu haya magonjwa hata kama wanatengeneza wazungu ni uhalifu kama uhalifu mwingine tu ila sio kwamba eti nd lengo. Ukimsikiliza billgate katika report yake alikiri kutaka kucontrol population ila kwasababu muafrica hawezi mudu huduma bora za maisha kwasababu ya familia kubwa. Pia rate ya population bado inaongezeka in relative tu maliasili. Usidhani wao wazungu hawafanyi ngongo tena kule ngono kiroho safi 2 hata kama mtu hamna mahusiano ila swala wanajidhibiti wao pia. Kwahyo kwasababu alshabaab ni waafrica wanaua raia wasio hatia waafrica wanakuwa magaidi? Mbona hitler alikuwa dictator na alikuwa mzungu na alipigwa na hao hao wazungu? Uhalifu ni uhalifu hauna race na muhalifu anaeza target sehemu yoyote ile either kwa chuki binafsi au maslahi fulan ila haiifanyi race yake kuwa wahalifu pia.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Unafahamu tofauti ya ‘Control’ na ‘extermination’? Maana nisije nikaanza kufukuzana na upepo bure
 
Unafahamu tofauti ya ‘Control’ na ‘extermination’? Maana nisije nikaanza kufukuzana na upepo bure
Ambacho hujaelewa kwenye maelezo yangu ni nini hapo mpaka uanze course ya english. Mi nimekupa point kuonesha unachoamini sio nimekupa na mfano wa maelezo ya Bill hapo.
 
Ambacho hujaelewa kwenye maelezo yangu ni nini hapo mpaka uanze course ya english. Mi nimekupa point kuonesha unachoamini sio nimekupa na mfano wa maelezo ya Bill hapo.
Naogopa kufukuza upepo, yameshanikuta humu. Unajua tofauti ya ‘Population control’ na ‘Population extermination’ / ‘Genocide’?
 
Uchumi toka mwanzo ulihusishwa na idadi ya watu wanaomiliki uchumi huo...Ref: Thomas Malthus - Essay on the Principle of Population. Katika uchumi wa sasa ambao kiasi kikubwa ushakuwa global, ongezeko la watu hasa katika jamii/nchi "maskini" huonekana kama tatizo kwa zile nchi zilizoendelea...Kumbuka kuwa nchi za Afrika kwa kiasi kikubwa zinaendeshwa kwa mikopo/misaada ya wafadhili...cha ajabu ni sera hii ya mikopo ndio yenyewe imesababisha kwa kiasi flani ongezeko la watu, Afrika. Kuna kitabu cha miaka ya sabini ambacho wachumi nguli duniani walionya kuwa misaada haitaweza kuondoa umaskini afrika zaidi kutajirisha watawala, kuongeza urasimu, kuongeza matumizi ya serikali na kupunguza ubunifu wa sekta binafsi, n.k. (nikipata mda nitakirejea niweke jina lake).

Kutokana sina muda, unaweza ukasoma kuhusu Neo-Darwinism na Modern Eugenics...halafu connect na mambo ya uchumi.

Hofu sasa ni nini?
Hofu ni kwamba bara la Afrika linakuwa projected kuwa na watu wengi zaidi duniani ndani ya karne hii. Ndilo bara lenye vijana zaidi duniani mpaka sana, lakini ndilo masikini zaidi japo lina hazina kubwa ya rasilimali ambayo haijaguswa bado...ni dhahiri kuwa umaskini wetu, magonjwa kama Ukimwi n.k. yameshindwa kuzuia ongezeko la watu Afrika...Sasa mara papu imekuja Corona na hapohapo mnaambiwa mchanje raia wenu wote. Je ni kosa kukaa chini na kufikiri juu ya usalama wa hizi chanjo, na kuona kama una option ya kukataa na kwanini hauna option ya kukataa. Ni nini kipo nyuma yake...Je kuna mifano ambayo wenzetu walishatumia virusi au magonjwa mengine katika kuangamiza au kunyong'onyesha jamii zingine...Ref film: Constant Garderner...(Angalizo: Sipingi chanjo au waafrika kuchanjwa, napinga kukubali tu chanjo kwa kigezo kuwa wazungu wangetaka kutuua wangeshakuwa wamefanya hivyo.)
 
Musiba anasema kuna hadi kikao kilishafanyikaga huko China
 
Je, dawa za haya magonjwa zilishawahi kugundulika ma mwafrika mweusi? Au tunalalama kuwa wanataka kutupunguza huku tukiwategemea watusaidie kuishi kwa madawa yao?[emoji57]
WaMasai huwa wanauzaga nini? Sio dawa zile? Mababu zetu wamekuwa wakitumia miti shamba kwa karne na karne, ni nini hizo, sio dawa? Au kwako wewe dawa ni zile zilizofungwa kwenye vifungashio vya plastiki? Bila kujua kuwa hata hizo huwa zinatengenezwa kwa extracts za miti na mimea inayotoka huku huku Afrika, Jamani, mbona mnakosa akili kiasi hiki? Nani amechota akili zenu watz wenzangu?
 
Back
Top Bottom