Waafrika weusi sisi tunakwama wapi?

Unaweza kudhani Tatizo ni Africa??Mtu mweusi Hata awe wapi,Bado yule yule tu,angalia Ndugu zetu wa Haiti, Barbados, Belize,Kama Huku tu,..

Angalia Nchi zetu za Kusini Mwa Jangwa la Sahara Na Kaskazini, Angalia tofauti ya South Africa na Maeneo mengine,..ni Aibu.

Kwa USA,ukiona Black American Milionea basi ujue kama sio Bondia,basi Basketball player,Actor and so...ila wajasiriamali utatafuta kwa Tochi(wachache sana)..kati ya wafungwa wote US,Blacks ni karibu asilimia 70%

It's either hii ngozi Ina laana au Kuna mahala tunakosea,,
 
Ngozi
 
Haya tuambie umevumbua nini ?na huo uvumbuzi ulikusaidi aje.
Eti hao wanaongelea ule uvumbuzi wa kuvaa nguo ya ngozi ya mnyama/magome ya miti,kutengeneza baiskeli ya miti,na kukoboa mahindi kwa kutumia kinu hebu fikiria mwenyewe kwa uvumbuzi huu tungeweza kupambana na dunia ya sasa kwa hii teknolojia kweli
 
Inasikitisha sana
 
Daaaaah,ukweli mchungu sana
 
mada kama hizi nazipenda sana 🀣🀣
 
Hatuna shida, tupi kama wengine, mifano miwili,
Ni vijana weusi waliolianzisha kule SA mpaka boers,makabulu wakasalimu amri,ile siku ya mtoto wa Afrika, tarehe 16,huwa tunakumbuka sharpiville massacre, walipouawa vijana kibao waliokuwa wanaandamana kupinga ubaguzi,
Ule mziki unaoendelea HAITi, ni harakati za MTU mweusi kupinga makuzi ya wazungu,
Shida huku Afrika, tulipowaondoa wakoroni weupe, yakaingia makoroni meusi kama ccm na wengine
 
Tatizo letu ni Ujinga uliokithiri ,ni roho mbaya zilizovuka mpaka ,na wizi wa uma uliopindukia ,angalia wenzetu wa Asia jinsi gani walivoendelea na wanavoendelea kwa nini tusiwaige wao wa Asia.TZ Tanganyika tunao wasomi lkn ni wajinga sana tuna maprofesar ni makaratasi tu hawana IQ hata kidogo basi fahari yao mm ni Profesor tu inafaa wasomi na hata waliokuwa si wasomi washirikishe katika kuangalia mustakbali wa nchii hii.
1 -Mitaala ya elimu ibadilishwe.
2-Katiba ya iwe ya nchi ( chama chochote kitakachoshinda kikifika ikulu kuna katiba ya nchi ndio itakayofuata)
3-Umeme wa Nuclear .
4-Waziri yyote apewe miezi sita tu hadilivery basi out .
5-Mafisadi au wezi wapigwe risasi uwanja wa Taifa plus anataifishwa mali yake yote.
 
N
Nakazia, inabidi ifike wakati tukubaliane na hali tu. Waafrika kwa ujumla ni race ya mwisho katika evolution. Ndo maana kwenye history hatukuona nyani mweupe🀣
Yani weupe wapi na Wana pua ndefu kabisa kama wazungu
 
Ni nini inafanya watu wawe na akili ndogo hata wasiwe na uwezo wa kufikiri ? IQ.
Aina ya chakula au mazingira ndiyo yanachangia ?
Ulaji wa ugali kwa waafrika wengi ndio chanzo Cha ujinga miongoni mwa Waafrika
 
Bora uzima tu ndugu yangu.
 
KUna tofauti ndogo sana kati ya watu weusi na wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…