FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nimejaribu kufuatilia pattern ya kusambaa kwa huu ugonjwa wa Corona, nimebaini japo huwa unapenda sehemu za baridi, lakini pia umekuwa ukiwapitia mbali watu weusi wenye asili ya Afrika
Hata huko China Waafrika weusi wapo, lakini naona kama wanaogelea bwawani bila kulowa, ugonjwa unawakwepa hivi.
Nakumbuka miaka ya zamani wazungu walipokuja Afrika walikufa kwa mafua tu ambayo wa Afrika ni kitu cha kawaida sana.
Je, vinasaba hivyo vya usugu wa mafua inawezekana ndio vinatukwepesha na haya mafua ya Corona?
Mmoja aliyekufa Egypt ni Mjerumani
===============================
Kwanini Corona haijatuathiri sana waafrika weusi? - JamiiForums

====================================Inasemekana kuwa ACE 2 gene ndiyo receptor wa Corona virus mwilini
Na Study imeonyesha kuwa Asians (Chinese) ndo naturally wana high expression wa Gene hii
Kundi linalofuatabkwa kuwa na highest expression ya hii gene ni Wazungu (Caucassians)
Then wanafuata mixed race (Machotara ya kizungu-blacks)
Pure black wana least expression ya hii ACE 2 receptors, which implies kwamba huenda virus keshatia timu africa lakini hakupata ushirikiano wa kutosha kushambulia miili yetu kwa sababu tuna poor receptors wa huyo virus[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Corona haijatuathiri sana waafrika weusi? - JamiiForums