FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
Ikija hapa bongo sijui itakuwaje..Haya majanga yanaletwa kulingana uwezo wa kupambana nayo itakuwa!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikija hapa bongo sijui itakuwaje..Haya majanga yanaletwa kulingana uwezo wa kupambana nayo itakuwa!!!!!!
Muumba atuepushilie mbaliIkija hapa bongo sijui itakuwaje..
Yawezekana ni kweli maana na me nilipigwa mafua mwezi January .yalinichukua week mbili mpk napona. Nb sidhani kama ni corona yenyeweKwa sisi bado tunatakiwa kuchukua tahadhari ya hivi virus. Advantage yetu ni kuwa immune system yetu iko juu kutokana na mazingira yetu kwa kuwa tuko exposed na magonjwa mengi hatari kuliko haua kwa hiyo mbali ya watu wa bara letu wanayahimili.Pia unaweza kukuta watu wengi tu wameyapata ila sisi issue kama mafua au kichwa kuuma, homa sijui watu hawaoni ni ugonjwa na hata saa nyingine ukiumwa unaenda hospitali wanakupima full blood picture waskpoona ugonjwa daktari anakushindilia dawa za typhoid, malaria no lazima upone.Kingine mpaka sasa hakuna au hatuwezi kutambua kwa kuwa hakuna hivyo vipimo vya kutambua huo ugonjwa ndio maana nimesema watu watakuwa walishaumwa tu wakajiponea.Nakumbuka end of last year watu waliumwa mafua kichwa ya ajabu ikapita na hakuna aliyesema amelazwa kwanza hivo vitanda vya kuwalaza eti ni mafua viko wapi.Anyway tuchukue tahadhari
duhh... nomaaamnao uliza kuhusu Nigeria uyo mgeni alifikia kiwanda cha cement bila shaka alkua ni mfanya kazi pale dereva alie mpokea bila shaka ni black man tayr amesha ambukizwa na sasa kiwanda kime fungwa na tayari wafanyakazi wa hiko kiwanda wame wekwa quarantine
View attachment 1372199View attachment 1372200
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]aisee majivu na chumviNilipigwa na mafua ya hatari kwa siku 2 - 3 mpaka apo juzi, koo linawasha balaa, nikahisi ndio corona yenyewe nini, mwamba mmoja akaniambia nichukue majivu nichanganye na chumvi niyalambe nikafanya hivo baada ya saa chache nimepona kabisa niko fresh naendelea na mishe zangu kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...!Inasemekana kuwa ACE 2 gene ndiyo receptor wa Corona virus mwilini
Na Study imeonyesha kuwa Asians (Chinese) ndo naturally wana high expression wa Gene hii
Kundi linalofuatabkwa kuwa na highest expression ya hii gene ni Wazungu (Caucassians)
Then wanafuata mixed race (Machotara ya kizungu-blacks)
Pure black wana least expression ya hii ACE 2 receptors, which implies kwamba huenda virus keshatia timu africa lakini hakupata ushirikiano wa kutosha kushambulia miili yetu kwa sababu tuna poor receptors wa huyo virus[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia kuna mbelgiji kaupeleka kongo tayariCorona ,corona where is thy sting? Muhudumu ongeza moja.
Kwa sisi bado tunatakiwa kuchukua tahadhari ya hivi virus. Advantage yetu ni kuwa immune system yetu iko juu kutokana na mazingira yetu kwa kuwa tuko exposed na magonjwa mengi hatari kuliko haua kwa hiyo mbali ya watu wa bara letu wanayahimili.
Pia unaweza kukuta watu wengi tu wameyapata ila sisi issue kama mafua au kichwa kuuma, homa sijui watu hawaoni ni ugonjwa na hata saa nyingine ukiumwa unaenda hospitali wanakupima full blood picture wasipoona ugonjwa daktari anakushindilia dawa za typhoid, malaria no lazima upone.
Kingine mpaka sasa hakuna au hatuwezi kutambua kwa kuwa hakuna hivyo vipimo vya kutambua huo ugonjwa ndio maana nimesema watu watakuwa walishaumwa tu wakajiponea.Nakumbuka end of last year watu waliumwa mafua kichwa ya ajabu ikapita na hakuna aliyesema amelazwa kwanza hivo vitanda vya kuwalaza eti ni mafua viko wapi.Anyway tuchukue tahadhari
Salt+ base ===> DAWA ya mafuaNilipigwa na mafua ya hatari kwa siku 2 - 3 mpaka apo juzi, koo linawasha balaa, nikahisi ndio corona yenyewe nini, mwamba mmoja akaniambia nichukue majivu nichanganye na chumvi niyalambe nikafanya hivo baada ya saa chache nimepona kabisa niko fresh naendelea na mishe zangu kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app