Waafrika weusi wana vinasaba maalum vya usugu dhidi ya Corona?

Waafrika weusi wana vinasaba maalum vya usugu dhidi ya Corona?

Nilipigwa na mafua ya hatari kwa siku 2 - 3 mpaka apo juzi, koo linawasha balaa, nikahisi ndio corona yenyewe nini, mwamba mmoja akaniambia nichukue majivu nichanganye na chumvi niyalambe nikafanya hivo baada ya saa chache nimepona kabisa niko fresh naendelea na mishe zangu kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Korona ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi bado tunatakiwa kuchukua tahadhari ya hivi virus. Advantage yetu ni kuwa immune system yetu iko juu kutokana na mazingira yetu kwa kuwa tuko exposed na magonjwa mengi hatari kuliko haua kwa hiyo mbali ya watu wa bara letu wanayahimili.

Pia unaweza kukuta watu wengi tu wameyapata ila sisi issue kama mafua au kichwa kuuma, homa sijui watu hawaoni ni ugonjwa na hata saa nyingine ukiumwa unaenda hospitali wanakupima full blood picture wasipoona ugonjwa daktari anakushindilia dawa za typhoid, malaria no lazima upone.

Kingine mpaka sasa hakuna au hatuwezi kutambua kwa kuwa hakuna hivyo vipimo vya kutambua huo ugonjwa ndio maana nimesema watu watakuwa walishaumwa tu wakajiponea.Nakumbuka end of last year watu waliumwa mafua kichwa ya ajabu ikapita na hakuna aliyesema amelazwa kwanza hivo vitanda vya kuwalaza eti ni mafua viko wapi.Anyway tuchukue tahadhari
Ni kweli kabisa nakumbuka mwanzoni mwa mwaka huu kuna mafua kakari sana yalipita hata mimi nilipambana nayo yalikuwa yanaleta maumivu ya kichwa pamoja na homa maana nakumbuka tuliugua familia nzima lkn tulipona tena bila kutumia dawa
 
Ishu iko hivi
20200314_123755.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona death toll Africa ina nafuu sana ukikinganisha na kwa weupe
 
So hii idea watu.weusi Wana stronger immune
au hali ya hewa ya Africa south of Sahara sio rafiki Kwa corona virus ni sahihi?
Hii Covid-19 ni mpya sana, bado hata wanasayansi hawajaichunguza na kuielewa vizuri.

Walisema haiwadhuru sana vijana, tumeona vinginevyo. Walisema mambo mengi sana ambayo baada ya miezi michache wamegundua tofauti.

Sasa hivi wataalamu wanaona kirusi hiki kinaharibu si mapafu tu, bali mpaka moyo.

Kaiser Health News: Mysterious Heart Damage, Not Just Lung Troubles, Befalling COVID-19 Patients.
Mysterious Heart Damage, Not Just Lung Troubles, Befalling COVID-19 Patients

Kinachotakiwa kufanyika ni utafiti zaidi na peer review ili kupata uhakika zaidi.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Leo nimeona kumbe kina hide kwenye cell
So hata ukisema umepona na Ku test negative..baada ya mda kinaibuka unaumwa tena na wana test kipo..mwanzo walisema ukishaugua Tu unakuwa immune..

Kila siku mapya na hii Corona
 
Kwahiyo lockdown ni kupoteza muda?
 
Maisha yetu ni corona tupu, malaria sisi , kipindupindu sisi, mafua na kikohozi sisi , UTI sisi , kuumwa kichwa sisi, uchafu sisi , umasikini sisi , njaa sisi , shida zote sisi, joto kali sisi Hapa lazima corona afe yeye au arudi aliko toka au akimbie.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom