Waafrika weusi wana vinasaba maalum vya usugu dhidi ya Corona?

Yawezekana ni kweli maana na me nilipigwa mafua mwezi January .yalinichukua week mbili mpk napona. Nb sidhani kama ni corona yenyewe

-all is well-
 
Naijeria nao si wanakula mambo ya ajabu kama nyoka,konokono na kadhalika itakuwa ugonjwa unafuata wala vya ajabu. Si huku hata mbwa hatuli pole Yao waheheh.
 
Inasemekana kuwa ACE 2 gene ndiyo receptor wa Corona virus mwilini

Na Study imeonyesha kuwa Asians (Chinese) ndo naturally wana high expression wa Gene hii

Kundi linalofuatabkwa kuwa na highest expression ya hii gene ni Wazungu (Caucassians)

Then wanafuata mixed race (Machotara ya kizungu-blacks)

Pure black wana least expression ya hii ACE 2 receptors, which implies kwamba huenda virus keshatia timu africa lakini hakupata ushirikiano wa kutosha kushambulia miili yetu kwa sababu tuna poor receptors wa huyo virus[emoji16]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]aisee majivu na chumvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee...!
 
Corona ,corona where is thy sting? Muhudumu ongeza moja.
 
Ukifatilia vizuri sisi waafrika tunaweza tukawa tunaishi na Corona katika miili yetu kwani tuna magonjwa mengi Sana ambayo hayatusumbui kiivyoo !!na wenzetu wakiyapata kifo akichezi mbali na wao,shida hivi Sasa tumeiga maisha ya kisasa na midawa mingi ya kizungu,na mwafrika wa hivyo ni mwepesi Sana kuugua na ndio wanaosumbuliwa na mafua, Hii Ni KAMA MZAHA lakini kwa watu wa vijijini inaweza mkuta kalala eneo lenye mbu na aumwi hiyo malaria ebu lala wewe hiyo siku Moja na umjini wako,dozi ya malaria inakuhusu,usasa umetuaribia Kinga zetu waafrika! Nimeandika kwa utani lakini kunaukweli mkubwa katika andiko langu[emoji40][emoji40][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kabisa nakumbuka kuna kipindi kulikuwa na mafua ya ajabu Sana, ho ma kuumwa kichwa Sana tena sana. Me pia nilikuwa miongoni mwa walioumwa but yalipita
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salt+ base ===> DAWA ya mafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…