Waafrika weusi wana vinasaba maalum vya usugu dhidi ya Corona?

Korona ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa nakumbuka mwanzoni mwa mwaka huu kuna mafua kakari sana yalipita hata mimi nilipambana nayo yalikuwa yanaleta maumivu ya kichwa pamoja na homa maana nakumbuka tuliugua familia nzima lkn tulipona tena bila kutumia dawa
 
Naona death toll Africa ina nafuu sana ukikinganisha na kwa weupe
 
So hii idea watu.weusi Wana stronger immune
au hali ya hewa ya Africa south of Sahara sio rafiki Kwa corona virus ni sahihi?
Hii Covid-19 ni mpya sana, bado hata wanasayansi hawajaichunguza na kuielewa vizuri.

Walisema haiwadhuru sana vijana, tumeona vinginevyo. Walisema mambo mengi sana ambayo baada ya miezi michache wamegundua tofauti.

Sasa hivi wataalamu wanaona kirusi hiki kinaharibu si mapafu tu, bali mpaka moyo.

Kaiser Health News: Mysterious Heart Damage, Not Just Lung Troubles, Befalling COVID-19 Patients.
Mysterious Heart Damage, Not Just Lung Troubles, Befalling COVID-19 Patients

Kinachotakiwa kufanyika ni utafiti zaidi na peer review ili kupata uhakika zaidi.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Leo nimeona kumbe kina hide kwenye cell
So hata ukisema umepona na Ku test negative..baada ya mda kinaibuka unaumwa tena na wana test kipo..mwanzo walisema ukishaugua Tu unakuwa immune..

Kila siku mapya na hii Corona
 
Leo nimeona kumbe kina hide kwenye cell
So hata ukisema umepona na Ku test negative..baada ya mda kinaibuka unaumwa tena na wana test kipo..mwanzo walisema ukishaugua Tu unakuwa immune..

Kila siku mapya na hii Corona
Kwahiyo lockdown ni kupoteza muda?
 
Maisha yetu ni corona tupu, malaria sisi , kipindupindu sisi, mafua na kikohozi sisi , UTI sisi , kuumwa kichwa sisi, uchafu sisi , umasikini sisi , njaa sisi , shida zote sisi, joto kali sisi Hapa lazima corona afe yeye au arudi aliko toka au akimbie.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…