Waafrika wote wa jinsia ya kike na ya kiume wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi.

Waafrika wote wa jinsia ya kike na ya kiume wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi.

hahaha yaani siku hizi ukitaka watu wakuelewe au wakuamini basi mtu ataanza na " kwa utafiti wangu nilio fanya........." yaani hata wabung siku hizi hiyo ndo imekua kianzio chao cha kusema ...!!
 
Kwa utafiti wangu ambao si wa kisayansi watu wanaopenda hiyo kitu ni latin americans. Hawa jamaa si mchezo. Balaa tupu.
 
Mm nafikiria zaidi siku ambayo CCM itaanguka ntafurahi sana
 
Mimi ningependa nikupongeze kwa kuweza kulitembelea bara zima la Afrika na kukamilisha huu utafiti wako,.......
Hongera sana.
 
Ni kwasababu hampo bz kwa lolote kuuubwa sana la maisha na kitu kinachowezekana kwa karibu ni jinsia mbili kuhusianishwa..Sasa wewe hutaki mawasiliano ama??
 
Jamani mapenz ndio ki2o chapili kutoka mwisho maana (usingizi) so ni dunia nzima wanapenda hiyo ki2. nakama ukitaka jua fanya utafiti wa kina ndio utajua wa2wanapigana kwakuto kuduana
 
Ni kweli kwa mtazamo wangu na utafiti wangu waafrika wengi wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi kuliko masuala ya maendeleo zaidi,mfano watu wengi wakiwa na mawasiliano ya jinsia tofauti hukifuatilia chazaidi wanacho wasiliana ni mapenzi na sio kujadili mambo mengine yanayoweza kuleta maendeleo nchini.pia waafrika haohao wanapenda sana kufuatilia mambo ya starehe zaidi kuliko mambo yanayoendelea katika nchi yake.mfano mtu anahacha kufuatilia bunge linavyoendelea or habari zinazoendelea nchini.
<br />
<br />
Nimefurahi sana kwa sababu we pia ni mmoja wa hao waafrica wapenda ngono.
 
mawazo ya maendeleo ya nchi huja baada ya mwananchi mmoja mmoja kukidhi haja za moyo wake !
 
Back
Top Bottom