Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,386
Nikosoe basi tafadhalinafikiri mchango wako una ka_ukweli ingawa si kwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikosoe basi tafadhalinafikiri mchango wako una ka_ukweli ingawa si kwa sana
Nikosoe basi tafadhali
<br />Ni kweli kwa mtazamo wangu na utafiti wangu waafrika wengi wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi kuliko masuala ya maendeleo zaidi,mfano watu wengi wakiwa na mawasiliano ya jinsia tofauti hukifuatilia chazaidi wanacho wasiliana ni mapenzi na sio kujadili mambo mengine yanayoweza kuleta maendeleo nchini.pia waafrika haohao wanapenda sana kufuatilia mambo ya starehe zaidi kuliko mambo yanayoendelea katika nchi yake.mfano mtu anahacha kufuatilia bunge linavyoendelea or habari zinazoendelea nchini.