WAAGIZAJI MAGARI TOKA JAPAN NA KWINGENEKO

WAAGIZAJI MAGARI TOKA JAPAN NA KWINGENEKO

Joined
Nov 6, 2012
Posts
96
Reaction score
28
Habari!
Napenda kuwatangazia fursa kwa wale wanaotaka kununua magari toka Japani na sehemu nyingine duniani kuwa kampuni ya KIMOMWE MOTORS itakuagizia gari ulitakalo kwa
1.Bei na gharama nafuu kabisa.
2.Muda muafaka.
3.Uchaguzi mpana na bora kabisa wa gari la ndoto yako.
4.Ushauri wa bure kwa mteja.
Ofisi zipo Magomeni Mapipa,
Morogoro road,
Jengo la Lubeya linalotizamana na kituo cha mwendo kasi (UDART) Magomeni.
Ghorofa ya kwanza.
Jengo lenye benki ya Diamond Trust Bank (DTB).
P.O.BOX 77121,
Dar es salaam.
Mawasiliano; 0754370202 kwa maelezo zaidi.
www.kimomwemotors.co.tz
 
Nataka kuagiza Hyundai senta fe 2014 diesel 7 seat nipe mwongozo na best price
Asante
 
Hivi kuna watu wanaagiziwa magari mpaka leo? Wakati kuagiza gari ni simple tu hata kwa kutumia simu yako ya kiganjani
 
Hivi kuna watu wanaagiziwa magari mpaka leo? Wakati kuagiza gari ni simple tu hata kwa kutumia simu yako ya kiganjani
Ukiagiza kwa kampuni ni salama na hakika zaidi kuliko huko unakosema waliogiza kwa njia hiyo sitaki kuwasemea changamoto walizozipata.
Sisi ni wafanyabiashara na wao ni wafanyabiashara tunafuta wateja kwa vyanzo vilivyopo.
Basi km ni hivyo makampuni km be forward ,sbt japan na mengine yasingekuwepo kwani biashara yap ndio hii,pia watanzania wote wanasimu janja computet lap top na wana uelewa wa magari na jinsi ya kuagiza.
Achilia mbali wewe uliye mjini na unafaidika na miundombinu na utandawazi yule aliye kijijini ambao ndio wengi je?aagize gari kwa njia ipi?
Mwisho wapo na watakuwepo wanaogiziwa magari.
 
Chief, weekend mnafungua? Na pia mna page instagram ili angalau tuone magari yenu kidogo
 
Angalieni ushindani wa bei na ubora kwani siku hizi kuna ushindani mkubwa.
 
Back
Top Bottom