WAAGIZAJI MAGARI TOKA JAPAN NA KWINGENEKO

WAAGIZAJI MAGARI TOKA JAPAN NA KWINGENEKO

Kuna mtu anaulizia canter Je bei gani?
Bei ya canter inategemea na uwezo wa kubeba yaani tani ngapi? Aina ya canter mfano Mitsubishi au Toyota ila bei zinaanzia 20m na kuendelea.Ningeshauri ufike ofisini au nicheki kwa namba yangu.
 
Back
Top Bottom