Billgates wa bongo
Member
- Nov 6, 2012
- 96
- 28
Sema kk funguka ukimya haujengiMhhh
Nipigie kwy namba yangu nikupe majibuNataka kuagiza Hyundai senta fe 2014 diesel 7 seat nipe mwongozo na best price
Asante
Toa tu majibu hapa jamvini kwa manufaa ya wengi.Nipigie kwy namba yangu nikupe majibu
9m kwa mazungumza zaidi ningependa uje ofisini kwetu yote yanawezekanaRactis inaweza kunicost pesa ngapi
Majibu km ya bei za magari ni maelewano ya mteja na kampuni hivyo ni bora ukafika ofisini tukayajenga zaidi.Toa tu majibu hapa jamvini kwa manufaa ya wengi.
14m tu pesa ya kitanzaniaNataka kuagiza Hyundai senta fe 2014 diesel 7 seat nipe mwongozo na best price
Asante
9m kwa mazungumza zaidi ningependa uje ofisini kwetu yote yanawezekana
Ukiagiza kwa kampuni ni salama na hakika zaidi kuliko huko unakosema waliogiza kwa njia hiyo sitaki kuwasemea changamoto walizozipata.Hivi kuna watu wanaagiziwa magari mpaka leo? Wakati kuagiza gari ni simple tu hata kwa kutumia simu yako ya kiganjani
Picha mkuu14m tu pesa ya kitanzania
Nitumie namba yako kwenye namba yangu nikutumie kwa whatsappPicha mkuu
Tunafungua jumamosi saa 02:00 asubuhi hadi saa 12:00 mchanaChief, weekend mnafungua? Na pia mna page instagram ili angalau tuone magari yenu kidogo