Billgates wa bongo Member Joined Nov 6, 2012 Posts 96 Reaction score 28 Jul 27, 2019 Thread starter #21 Namba yangu hiyo ipo kwenye whatsapp nitext nikutumie magar
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,850 Jul 27, 2019 #22 Kuna mtu anaulizia canter Je bei gani?
Billgates wa bongo Member Joined Nov 6, 2012 Posts 96 Reaction score 28 Jul 27, 2019 Thread starter #23 Arovera said: Angalieni ushindani wa bei na ubora kwani siku hizi kuna ushindani mkubwa. Click to expand... Bei zetu ni rafiki huwezi pata popote hapa Dar es salaam karibu ofisini kwetu
Arovera said: Angalieni ushindani wa bei na ubora kwani siku hizi kuna ushindani mkubwa. Click to expand... Bei zetu ni rafiki huwezi pata popote hapa Dar es salaam karibu ofisini kwetu
Billgates wa bongo Member Joined Nov 6, 2012 Posts 96 Reaction score 28 Jul 27, 2019 Thread starter #24 Akilinjema said: Kuna mtu anaulizia canter Je bei gani? Click to expand... Bei ya canter inategemea na uwezo wa kubeba yaani tani ngapi? Aina ya canter mfano Mitsubishi au Toyota ila bei zinaanzia 20m na kuendelea.Ningeshauri ufike ofisini au nicheki kwa namba yangu.
Akilinjema said: Kuna mtu anaulizia canter Je bei gani? Click to expand... Bei ya canter inategemea na uwezo wa kubeba yaani tani ngapi? Aina ya canter mfano Mitsubishi au Toyota ila bei zinaanzia 20m na kuendelea.Ningeshauri ufike ofisini au nicheki kwa namba yangu.