Waagizaji wa smartphone China jumla/rejareja

Kwahio nikitaka note 10+, nakutumia pesa yote 1.5m kasoro tuu hio $15 [emoji849]
Also nakutumia mpesa au naweka kwa bank yako [emoji848]
 
Taratibu za malipo ni kwamba utapewa invoice utalipia tutasign mkataba wa mauziano then after 10 days simu ikifika unamalizia that amount kwa ajili ya kulipia then utakuja chukua simu yako
 
Back
Top Bottom