Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa.

👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA.

👤 UWE NA EXPERIENCE LAKINI MAANA USIJE KWASABABU VIWANDAN MAMBO MAGUMU.

👤 Msingi kidogo unaweza kuingiza zaidi ya mara 3 ya hela hiyo unayopata kiwandani. Vijana wengi wanaogopa kujiajiri, bora kupata changamoto kwenye biashara yako kuliko kupata changamoto kwa biashara ya boss wako.

👤 Kuwa na mawazo ya kujiajiri na sio kuajiriwa "Ajira ni utumwa kila siku we utakuwa wa kutumikishwa mwisho unaweza shangaa unaumwa hicho kiwango unachopata hata akiwezi tosha matibabu.

Uwe na siku njema. Kutoa ni moyo sio utajiri
 
Umeongea kwa uchungu tatizo linaanza je kiwanda kina hali gani? Waziri wa kazi anasemaje! Maelekezo ya sera ya nchi yanasemaje? Mbunge na diwani aliyekaribu na viwanda anasemaje? Watu wa haki na wanaharakati wamefanya nini? Mwisho vibarua nao wamefanya nini?

It's not easy and will never be easy! Development is a process not a stage!
 
[emoji185] Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa.

[emoji185] KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA.

[emoji185] UWE NA EXPERIENCE LAKINI MAANA USIJE KWASABABU VIWANDAN MAMBO MAGUMU.

[emoji185] Msingi kidogo unaweza kuingiza zaidi ya mara 3 ya hela hiyo unayopata kiwandani. Vijana wengi wanaogopa kujiajiri, bora kupata changamoto kwenye biashara yako kuliko kupata changamoto kwa biashara ya boss wako.

[emoji185] Kuwa na mawazo ya kujiajiri na sio kuajiriwa "Ajira ni utumwa kila siku we utakuwa wa kutumikishwa mwisho unaweza shangaa unaumwa hicho kiwango unachopata hata akiwezi tosha matibabu.

Uwe na siku njema. Kutoa ni moyo sio utajiri

Viwanda vingi vinamilikiwa na wahindi,hawa watu ni wanyonyaji sana….hv kweli unamlipa mtu 4000 kwa siku ataacha kukuibia!?anapata wapi morale ya kazi!? Na viwanda vyote vya wahindi hawatoi mikataba ya kudumu,utafanya kazi siku zote kama kibarua.
 
Back
Top Bottom