Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani kaenda kwenye interview na alipofika amewakuta wale wanaomuuliza maswali wanaelewa sana kile alichokisomea yeye na hata wao hawajasomea course hiyo. Walimwambia kuwa hawamuhitaji kwani wanachuo wengi wanafundishwa kwa theory sana na sio practice.
Kwa stahili hii inaogopesha sasa kwani waajiri wengi hutafuta "uzoefu wa mda fulani " yaani work experience wakati watu ndio wamemaliza chuo.
Kwa stahili hii inaogopesha sasa kwani waajiri wengi hutafuta "uzoefu wa mda fulani " yaani work experience wakati watu ndio wamemaliza chuo.