Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
KabisaTuwajenge watoto katika uhalisia kwamba soma shule maliza ukajishughulishe na chochote unachoweza sio lazima ajira
Zama zimebadilika kabisa, na sisi wazazi hasa wa kuanzia miaka ya 1980's ndio tunawalea watoto kama ambavyo sisi tulilelewa kwa kuwaambiwa waende shule kusoma ili wapate kazi. Kwa mtindo huu tunatengeneza taifa tegemezi.Kabisa
Kabisa kabisa mkuuZama zimebadilika kabisa, na sisi wazaz hasa wa kuanzia 1980's kuja juu ndio wahanga sasa ukitaka kulea wanao kama ambavyo sisi tulilelewa kwa kuambiwa nenda shule soma upate kazi, utawapoteza watoto
Wasomi wetu hawa hawaambiwi kuhusu uhalisia wa ajira ukoje. Mitaala ina waaminisha wakimaliza tu wana kazi.Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani alichokisomea anaambiwa alipofika wao wanaelewa kuliko yeye aliyesoma sababu wao wajasomea na hawana haja naye huku wakisema wachuo ni theory sio practice.
Kwa stahili hii inaogopesha sasa na utangulizi wenu "uzoefu wa mda fulani " wakati ndio wamemaliza chuo
Tz ajira ishakua ngumu sikuhizi!!