Waajiri wetu wametuambia tufungue account nyingine waingize mshahara, CRDB hovyo

Waajiri wetu wametuambia tufungue account nyingine waingize mshahara, CRDB hovyo

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu za CRDB Zina baunce, hivyo Sasa tumeelekezwa kufungua account bank nyingine , au tulete account mbadala ili tupate haki yetu.

Hii bank ,inabidi hisa zake Zishuke , inatukwamisha sana

Soma CRDB Mungu anawaona. Mnatunusisha mahela halafu mnayatoa
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom