Waajiriwa wapya tunaosubiria barua ya ajira ili kuripoti Julai 1, 2022 tukutane hapa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Wale wote waliofaulu usaili ambao wanatarajia kuajiriwa kuanzia tarehe 1.7.2022 na Bado hawajapatiwa barua Za kuripoti kazini tarehe hiyo kufuatia tangazo na maagizo ya serikali kupitia kwa Waziri JENESTER Mhagama tukutane hapa.
 
Yan sjaelewa hapo. Kwan majina hayo tyr ndgu?
 
Waliosailiwa na Majina yao Mfano walimu, madaktari, TRA nk Majina wanajulikana na wanatakiwa kuripoti kazini tar 1.7.22 . Wale ambao tayari wamepatiwa barua Za wio wa kuripoti kaxinikwa mujibu wa kauli ya Waziri JENESTER mhagama tukutane hapa,
 
Walimu na Afya wameambiwa wakaripoti ndani ya siku 14, Barua watazipewa na Wakurugenzi baada ya nyaraka zao halisi kuhakikiwa.

Wa Utumishi huwa majina yanatoka na kuelekezwa kwenda kuchukua Barua Utumishi
 
Mchakato wa utumishi unachukua zaidi ya mwezi mmoja ndo waliobahatika kuitwa kuzifuata barua zao.
 
Kivyovyote vile hata kama mtaitwa mwezi wa 8. Ila hongereni Sana Tambeni. Huku mtaani sio pazuri kabisa ni Pa motoo
 
Back
Top Bottom