Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?
1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?
2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?
3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?
NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.
KAZI ITAENDELEAJE?