Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

Database ina waombaji 130,000 wameajiriwa watu 9,700

Mwambie ajifanye kama anajikuna 🤣
Tufundishwe mind set kujiajiri aseee huko mbele watoto wetu wasije dhalilika maana ajira zinazidi kuwa finyu.,...tujiajiri
 
Ziko kwenye mpango wakujengea sanamu
 
Tufundishwe mind set kujiajiri aseee huko mbele watoto wetu wasije dhalilika maana ajira zinazidi kuwa finyu.,...tujiajiri
Kujiajiri siyo mindset, ni uwepo wa mazingira wezeshi na potential opportunities.

Hata kama ukijiajiri, huwezi kufanya kazi zote peke yako.

Watu wote wakijiajiri maisha yatasimama.
 
Halmashauri haiwezi kuandaa pesa ya kujikimu,ukaikuta unapoenda kuripoti kwani haifamu ni yupi ataripoti au hatoripoti....kuna siku 14 za kwenda kufunga mizigo ndio uende kuanza kazi ....nenda kaage familia ukirudi utaikuta ipo.......
 
Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.

Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?

1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?

2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?

3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?

NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.

KAZI ITAENDELEAJE?
Mmeanza!! Oo!!! Ajira ajira! Mmepewa. Oo!! hela ya kujikimu! Mnapewa. Oo usafiri usafiri!! Astakhafillilah!!
 
Unajua JPM sio kama alikuwa mjinga kutokuajiri kwa mkupuo kama hivo ila alijua kuwa ukiwaajiri wanahitaji pesa za kujikimu hapo ukisema usilipe ndo tunarudi kule ambako unasikia watumishi wanazidai serikali hela zao rukuki ndiyo hizo za kujikumu pamoja na zile za uamisho.
Kwani yeye ndo alilipa kwa wakati? Tulioajiriwa enzi za JPM tulipata hiyo pesa after 2/3 months. Yeye akafanye kazi pesa atalipwa tuu
 
Nina vijana walioajiriwa zile za ualimu mwaka jana mwishoni Wilaya ya Bariadi mpaka Leo hawajapata hiyo hela,wala mshahara wa mwezi mmoja.

Fikiria mtu anaanza kazi Kwa mkopo, lkn wabunge wanaodemka tu wakiapishwa wanakula hela chap chap mpaka za suti.
Hii nchi ni ngumu sana
 
Halmashauri haiwezi kuandaa pesa ya kujikimu,ukaikuta unapoenda kuripoti kwani haifamu ni yupi ataripoti au hatoripoti....kuna siku 14 za kwenda kufunga mizigo ndio uende kuanza kazi ....nenda kaage familia ukirudi utaikuta ipo.......

ni siku 7 tu!
 
Nilitaka kuanzisha uzi kuhusu hili pia!

juzi nikiwa halmashauri moja wapo nliwauliza hiki kitu! nkaambiwa hela ya kujikimu ni "LABDA" mpaka mwezi ujao! nkawauliza sasa katika hiki kipindi chote mtu unaishije!? wakasema hiyo hawajui ni kutafuta alternative! nikawaambia sasa kama ni hivo vipi kuhusu salary!? ntapata mwezi huu!? nayo wakasema LABDA mpka mwezi ujao nlichoka sana!

nkawaambia sasa nataka kuchukua 14 days ntafute pesa mwenyewe na kujiandaa maana huu mkoa sijawahi fika! wakakataaa kua mwisho ni seven days!

nkajiuliza ina maana wanaajiri watu ilihali hawajajiandaa kuwapa angalau hiyo posho ya kujikimu!? nakumbuka yule bwana shemdoe wakati anatangaza alisema watakaochukua ila wasiripoti watashughulikiwa kumbe ilikua siasa tu kuonesha inawahi kutoka ilhali hakuna!?

nimeamua nirudi kwenye biashara yangu na kwa heshima ya kizalendo nataka serikali itafute mtu wa kuni replace, nimerejista kila kitu siku ntakayoona wameweka hyo hela ndo ntaenda! wasipoweka watafute mtu mwingine!

japo nna shida ila nisigeuzwe punda!

asanteni!
 
Acha kusemea wengine, wewe unahusika vipi kwa hili suala la fedha ya kujikimu?
 
Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.

Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?

1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?

2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?

3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?

NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.

KAZI ITAENDELEAJE?
Umepata kazi shukuru, kuwa mpole fanya kazi, hii ni Sawa na kukopa laki ukarudisha na riba. Vimilia mkuu mbona ulikuwa unajikimu kabla ya kupata ajira
 
Nina vijana walioajiriwa zile za ualimu mwaka jana mwishoni Wilaya ya Bariadi mpaka Leo hawajapata hiyo hela,wala mshahara wa mwezi mmoja.

Fikiria mtu anaanza kazi Kwa mkopo, lkn wabunge wanaodemka tu wakiapishwa wanakula hela chap chap mpaka za suti.
Hii nchi ni ngumu sana
Ajira zenyewe ni kwa huruma tu ya mama Sasa endeleeni kujifanya mnaijua Sana standing order mtawaharibia watu wa batch inayofuata watakuja kuajiriwa 2025
 
Unajua JPM sio kama alikuwa mjinga kutokuajiri kwa mkupuo kama hivo ila alijua kuwa ukiwaajiri wanahitaji pesa za kujikimu hapo ukisema usilipe ndo tunarudi kule ambako unasikia watumishi wanazidai serikali hela zao rukuki ndiyo hizo za kujikumu pamoja na zile za uamisho.
Duh
 
Back
Top Bottom