Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?
1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?
2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?
3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?
NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.
KAZI ITAENDELEAJE?
kama hutaki kazi acha, jiajiriTunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?
1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?
2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?
3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?
NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.
KAZI ITAENDELEAJE?
Unajua JPM sio kama alikuwa mjinga kutokuajiri kwa mkupuo kama hivo ila alijua kuwa ukiwaajiri wanahitaji pesa za kujikimu hapo ukisema usilipe ndo tunarudi kule ambako unasikia watumishi wanazidai serikali hela zao rukuki ndiyo hizo za kujikumu pamoja na zile za uamisho.Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?
1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?
2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?
3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?
NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.
KAZI ITAENDELEAJE?
Kwani pesa ya kujikimu ni sheria au ukarimu tu wa halmashauri husika ???Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?
1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?
2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?
3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?
NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.
KAZI ITAENDELEAJE?
Database ina waombaji 130,000 wameajiriwa watu 9,700Ukiona wanakuzingua acha kazi
Mi nina kazi yangu,siyo ya kuajiriwa na serikali. Usikurupuke kijinga.kama hutaki kazi acha, jiajiri
Pesa ya kujikimu siyo hiari.Kwani pesa ya kujikimu ni sheria au ukarimu tu wa halmashauri husika ???
Anyway, mimi naamini muhimu ni kuwahi kuwekwa kwenye payroll mapema ili tarehe 25 mpate mishahara.
Nchi yetu tunaijua ilivyo na suala la pesa ya kujikimu ni jukumu la halmashauri na halmashauri zetu tunazijua.
Binafsi naona lawama hazifai, shukuru Mungu kwa hiyo ajira inatosha.
Vinginevyo utajikuta ni mzee wa malalamiko miaka nenda rudi.
Acha uongo uongo.Wameeipoti tu na kuanza kulalamika ...ninakumbuka mwaka 2010 janury nilipoajiriwa halmashauri niliripoti nikaambiwa nikakae nyumbani nikawaomba nifanye kazi kwa kujitolea hadi fedha itakapotoka ..na nilikuja kuipata april
Weka huo ulazima kwa misingi ya kisheria ?Pesa ya kujikimu siyo hiari.
Sema watanganyika ni wavivu wa kujua haki zao.
Bro,
Kafanye kazi kwa MASLAHI MAPANA YA TAIFA, wewe Ni miongoni Kati ya laki uliebahatika kupata kazi.
Kafanye kazi
Ukiona wanakuzingua acha kazi
Dah mbona unalalamika mapema hivoTunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?
1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?
2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?
3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?
NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.
KAZI ITAENDELEAJE?
Ndugu pesa ya kujikimu ni lazima kwa mujibu wa standing order ya serikaliWeka huo ulazima kwa misingi ya kisheria ?
Ni bei ganiNdugu pesa ya kujikimu ni lazima kwa mujibu wa standing order ya serikali
Subsistence allowance brotherKama unamaanisha substances allowance hakuna asiyepata
Labda kama sijaelewa