Tufundishwe mind set kujiajiri aseee huko mbele watoto wetu wasije dhalilika maana ajira zinazidi kuwa finyu.,...tujiajiriDatabase ina waombaji 130,000 wameajiriwa watu 9,700
Mwambie ajifanye kama anajikuna 🤣
[emoji23][emoji23][emoji23]Itakua pesa hakuna, sahivi inahitajika mil 400 tujenge kwanza sanamu....
Kujiajiri siyo mindset, ni uwepo wa mazingira wezeshi na potential opportunities.Tufundishwe mind set kujiajiri aseee huko mbele watoto wetu wasije dhalilika maana ajira zinazidi kuwa finyu.,...tujiajiri
Ni kiasi gani na ni jukumu la nani kuitoa ?Ndugu pesa ya kujikimu ni lazima kwa mujibu wa standing order ya serikali
SawasawaSu
Subsistence allowance brother
Mmeanza!! Oo!!! Ajira ajira! Mmepewa. Oo!! hela ya kujikimu! Mnapewa. Oo usafiri usafiri!! Astakhafillilah!!Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?
1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?
2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?
3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?
NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.
KAZI ITAENDELEAJE?
Kwani yeye ndo alilipa kwa wakati? Tulioajiriwa enzi za JPM tulipata hiyo pesa after 2/3 months. Yeye akafanye kazi pesa atalipwa tuuUnajua JPM sio kama alikuwa mjinga kutokuajiri kwa mkupuo kama hivo ila alijua kuwa ukiwaajiri wanahitaji pesa za kujikimu hapo ukisema usilipe ndo tunarudi kule ambako unasikia watumishi wanazidai serikali hela zao rukuki ndiyo hizo za kujikumu pamoja na zile za uamisho.
Halmashauri haiwezi kuandaa pesa ya kujikimu,ukaikuta unapoenda kuripoti kwani haifamu ni yupi ataripoti au hatoripoti....kuna siku 14 za kwenda kufunga mizigo ndio uende kuanza kazi ....nenda kaage familia ukirudi utaikuta ipo.......
Umepata kazi shukuru, kuwa mpole fanya kazi, hii ni Sawa na kukopa laki ukarudisha na riba. Vimilia mkuu mbona ulikuwa unajikimu kabla ya kupata ajiraTunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya kujikimu",Kama wanaenda kuanza kazi bila kupewa hiyi hela?
1.Je,hizi danadana zinafanywa na nani?
2.Hizi pesa zinatoka wapi, halmashauri au hazina?
3.Mbona kwa watumishi juu huwa hatusikii manyanyaso haya,pindi wanapoajiriwa?
NB: Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wasaidie vijana hawa.
KAZI ITAENDELEAJE?
Mkuu@pilipili--mbuzi: unalalamika issue ndogo Kama hii mbona watanzania tunapenda Sana kudekaMi nina kazi yangu,siyo ya kuajiriwa na serikali. Usikurupuke kijinga.
Ajira zenyewe ni kwa huruma tu ya mama Sasa endeleeni kujifanya mnaijua Sana standing order mtawaharibia watu wa batch inayofuata watakuja kuajiriwa 2025Nina vijana walioajiriwa zile za ualimu mwaka jana mwishoni Wilaya ya Bariadi mpaka Leo hawajapata hiyo hela,wala mshahara wa mwezi mmoja.
Fikiria mtu anaanza kazi Kwa mkopo, lkn wabunge wanaodemka tu wakiapishwa wanakula hela chap chap mpaka za suti.
Hii nchi ni ngumu sana
DuhUnajua JPM sio kama alikuwa mjinga kutokuajiri kwa mkupuo kama hivo ila alijua kuwa ukiwaajiri wanahitaji pesa za kujikimu hapo ukisema usilipe ndo tunarudi kule ambako unasikia watumishi wanazidai serikali hela zao rukuki ndiyo hizo za kujikumu pamoja na zile za uamisho.