ma-CEO kwenye vilabu vingi sio watu wa mpira, hasa vilabu vinavyoendeshwa kwa mfumo wa umiliki binafsi,,,,Barba ni zero kwenye football management alikuwa anapewa sifa ambazo sio zake wachezaji wengi waliosajiliwa chini yake ni magarasa
tena hela ya kuajiri ya mkurugenzi wa ufundi.hawana hela bd wanajiita timu kubwa?kama timu haina hela 20b ya mudi ilienda wapi,Mudi anawekeza kidogo kidogo ila anataka faida kubwa.
ndo maana vilabu vikubwa vina ajiri technical director.anakua bosi wa timu (wachezaji na makocha)ma-CEO kwenye vilabu vingi sio watu wa mpira, hasa vilabu vinavyoendeshwa kwa mfumo wa umiliki binafsi,,,,
mambo ya mpira kuna watu wake, CEO ni mgt ya kampuni
Baada ya "semaji" kuvurugana na Barbra sasa ni zamu ya Kassim Dewji.
“Waajiriwa wengi Simba SC hawana taaluma ya ajira zao. Bodi haina nguvu ya kuwawajibisha waajiriwa wao. CEO wa Simba ni kama yupo juu ya Bodi kwa sasa” Kassim Dewji Mjumbe wa Bodi ya Simba SC
#EFM
Kuna shida pale Simba Sc, tena shida kubwa sana. Tuendelee kusubiri, kila kitu kitakuwa wazi.
Hapa itakuwa tatizo mrembo kabasa upigaji...mwanadamu ukibinya mirija yake anakuona mbaya tuu ata kama unafanya memaKwa kauli hizi za Kassim Dewji, kuonekana kwa nadra kwa Magori kwa siku za karibuni na kauli tata za Kaduguda kabla ya mechi ya Mwanza ni wazi sasa hali si shwari ndani ya bodi ya Simba. Kimsingi wote wanajenga nyumba moja wakae chini wasikilizane wamalize tofauti zao mapema kwani wakijichanganya tu litawasababishia waharibu usajili halafu matokeo yake mwakani tena watafanya vibaya. Na ikitokea hivyo ndio huwa mwanzo wa kutafuta mtu wa kumwangushia nyumba bovu ambaye mara nyingi huwa ni kocha kama ilivyotokea kwa Pablo juzi.
ma-CEO kwenye vilabu vingi sio watu wa mpira, hasa vilabu vinavyoendeshwa kwa mfumo wa umiliki binafsi,,,,
mambo ya mpira kuna watu wake, CEO ni mgt ya kampuni