Waajiriwa wengi Simba SC hawana taaluma ya ajira zao

Barba ni zero kwenye football management alikuwa anapewa sifa ambazo sio zake wachezaji wengi waliosajiliwa chini yake ni magarasa
ma-CEO kwenye vilabu vingi sio watu wa mpira, hasa vilabu vinavyoendeshwa kwa mfumo wa umiliki binafsi,,,,

mambo ya mpira kuna watu wake, CEO ni mgt ya kampuni
 
kama timu haina hela 20b ya mudi ilienda wapi,Mudi anawekeza kidogo kidogo ila anataka faida kubwa.
tena hela ya kuajiri ya mkurugenzi wa ufundi.hawana hela bd wanajiita timu kubwa?
 
ma-CEO kwenye vilabu vingi sio watu wa mpira, hasa vilabu vinavyoendeshwa kwa mfumo wa umiliki binafsi,,,,

mambo ya mpira kuna watu wake, CEO ni mgt ya kampuni
ndo maana vilabu vikubwa vina ajiri technical director.anakua bosi wa timu (wachezaji na makocha)
 
Kwa kauli hizi za Kassim Dewji, kuonekana kwa nadra kwa Magori kwa siku za karibuni na kauli tata za Kaduguda kabla ya mechi ya Mwanza ni wazi sasa hali si shwari ndani ya bodi ya Simba. Kimsingi wote wanajenga nyumba moja wakae chini wasikilizane wamalize tofauti zao mapema kwani wakijichanganya tu litawasababishia waharibu usajili halafu matokeo yake mwakani tena watafanya vibaya. Na ikitokea hivyo ndio huwa mwanzo wa kutafuta mtu wa kumwangushia nyumba bovu ambaye mara nyingi huwa ni kocha kama ilivyotokea kwa Pablo juzi.
 
Hao ni wapigaji wamebanwa kidogo tu wanaanza kutoa milio, Babra endelea kukaza wakatafute kazi za kufanya
Baada ya "semaji" kuvurugana na Barbra sasa ni zamu ya Kassim Dewji.

“Waajiriwa wengi Simba SC hawana taaluma ya ajira zao. Bodi haina nguvu ya kuwawajibisha waajiriwa wao. CEO wa Simba ni kama yupo juu ya Bodi kwa sasa” Kassim Dewji Mjumbe wa Bodi ya Simba SC
#EFM

Kuna shida pale Simba Sc, tena shida kubwa sana. Tuendelee kusubiri, kila kitu kitakuwa wazi.
 
Kwa kauli hizi za Kassim Dewji, kuonekana kwa nadra kwa Magori kwa siku za karibuni na kauli tata za Kaduguda kabla ya mechi ya Mwanza ni wazi sasa hali si shwari ndani ya bodi ya Simba. Kimsingi wote wanajenga nyumba moja wakae chini wasikilizane wamalize tofauti zao mapema kwani wakijichanganya tu litawasababishia waharibu usajili halafu matokeo yake mwakani tena watafanya vibaya. Na ikitokea hivyo ndio huwa mwanzo wa kutafuta mtu wa kumwangushia nyumba bovu ambaye mara nyingi huwa ni kocha kama ilivyotokea kwa Pablo juzi.
Hapa itakuwa tatizo mrembo kabasa upigaji...mwanadamu ukibinya mirija yake anakuona mbaya tuu ata kama unafanya mema
 
ma-CEO kwenye vilabu vingi sio watu wa mpira, hasa vilabu vinavyoendeshwa kwa mfumo wa umiliki binafsi,,,,

mambo ya mpira kuna watu wake, CEO ni mgt ya kampuni

Wana director of football ambaye ni mtu wa mpira ,kwa mujibu wa Kassim Dewji Mo alisema Hana hela kuajiri mkurugenzi wa ufundi
 
Back
Top Bottom