Waakuu hii ramani inamakosa gani?

Waakuu hii ramani inamakosa gani?

Nimemaznisha locations ziwe switched
IMG_2130.jpg.jpg
 
Upande huo wa master, sababu ni kubwa. Nimeiweka yenyewe, Yes closet room iko sambamba na master.
Vyumba vyote ni self.
Safi dugu yangu from lake zone, inapendeza sana rooms zote kuwa master. Sema kuna nyumba zingine za biashara unakuta all rooms self lakini ndani hakuna public toilet 🙄 sa' sijui wanataka mugeni umpitishe chumbani akwende kujisaidia. Niliona hiyo kadhia sehemu kama 3.
 
Mtani closet room ni chumba, cha kuvalia. Pia ndiyo unahifadhi nguo, viatu, bags.
Ili master ibaki kama chumba cha kulala tu. Siyo tena makabati ya nguo humo, kuvaa humohumo hapana.

nimekupata kama una flow yake jinsi msing wake ulivo share na sisi apa naweza nikaipenda tukafananisha nyumba mtani[emoji2]
 
Living room cabinet inakaa wapi ramani haijaonyesha.

Labda iwe kwenye ukuta unaotenganisha sebule na master bedroom
 
Back
Top Bottom