Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Nimemaznisha locations ziwe switched
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaznisha locations ziwe switched
Ah wapi kwa maisha yetu ya kiafrikaafrika wacha ionekano uzamani tu.toa huo ukuta hapo kati ya jiko na dinning,siku hizi openi kitchen ni mpango mzima.nipe kazi hiyo nikuandalie construction details drawings final
Wewe vyumba vya kulala umevifanyeje.Ramani yako mtani, inataka kufanana na yangu, kasoro vyumba vya kulala.
Pia mimi nimeongeza closet room.
Upande huo wa master, sababu ni kubwa. Nimeiweka yenyewe, Yes closet room iko sambamba na master.Wewe vyumba vya kulala umevifanyeje.
Closet umeiweka mkabala na Master eeeh?
Nje ya mada mkuu...Upande huo wa master, sababu ni kubwa. Nimeiweka yenyewe, Yes closet room iko sambamba na master.
Vyumba vyote ni self.
Pole jamani, labda comment zako huwa zinanifurahisha. Najikuta nacheka. Ooh hivi mara zote nacheka? UshimenNje ya mada mkuu...
Hivi kwanini unapenda kunicheka kila nikikomenti/nondo tena zenye heshma kabisa...😥😪 au ninafeli wapi..🙆♂️
Kuna bonge la kufuli pole best 😂😂😂😂😂😂Sawa mkuu, nimekucheck PM chap...😋
Safi dugu yangu from lake zone, inapendeza sana rooms zote kuwa master. Sema kuna nyumba zingine za biashara unakuta all rooms self lakini ndani hakuna public toilet 🙄 sa' sijui wanataka mugeni umpitishe chumbani akwende kujisaidia. Niliona hiyo kadhia sehemu kama 3.Upande huo wa master, sababu ni kubwa. Nimeiweka yenyewe, Yes closet room iko sambamba na master.
Vyumba vyote ni self.
Mtani closet room ni chumba, cha kuvalia. Pia ndiyo unahifadhi nguo, viatu, bags.nitumie PM nione yako ipoje niongeze maarifa
mtani izo closet room nd vinini ivo
Mtani closet room ni chumba, cha kuvalia. Pia ndiyo unahifadhi nguo, viatu, bags.
Ili master ibaki kama chumba cha kulala tu. Siyo tena makabati ya nguo humo, kuvaa humohumo hapana.
Yanakaa mawili, Kati ya sitting na dining hakuna ukuta, means madirisha ya dining yasaidie kuleta mwanga sitting room. Hiyo ni nzuri kwa privacy & security. Inakupa uhuru pia wa kutumia kuta zako za sitting.Hapo sebuleni dirisha moja, binafsi sipendelei
💯🤝Hapo sebuleni dirisha moja, binafsi sipendelei
Na ikitokea kwenye kiwanja ulichojenga sebule iko upande ambao hakuna upepo unaingia inakuwaga balaa jotoHapo sebuleni dirisha moja, binafsi sipendelei