October 2pm
Senior Member
- May 2, 2023
- 106
- 282
manzoni nilichagua Dodoma na moro ila mimi nipo tabora na statua yangu ilikuja ikionesha mikoa nikiyoiomba awali vipi siwezi itema na kuomba mikoa yote na masomo yote tabora ili kuepusha gharama za usafiri??? Asante.
Sahihi, tena ajira zenyewe za serikali zaidiKama Taifa kuna haja ya kutoa hsmasa kwa watu kujitegemea au sera ya kujitegemea irudishwe
Watu wanakaa kusubiri ajira bila kujishughulisha uchumi utakuwa kweli?
Haya....haya....haya.....
Mwalimu mkuje huku mshatafuniwa kama kalambwanda...😜
Kama Taifa kuna haja ya kutoa hsmasa kwa watu kujitegemea au sera ya kujitegemea irudishwe
Watu wanakaa kusubiri ajira bila kujishughulisha uchumi utakuwa kweli?
Kwa maan nyingine mtihani utakuwa tofauti,maana Kila mwalimu ana different teaching subjectsMjiandae..
Tayari baadhi mmeshaanza kuona mabadiliko katika account zenu. Utathibitisha Mkoa àmbao upo tayari kwaajili ya usaili, Kwa wale wale watakaofanikiwa kuendelea na Oral.
Kisha watakaofauli Oral watapangiwa vituo vya Kazi Kulingana na serikali itakavyoona.
Jiandaeni vizuri. Maswali mengi yatajikita kwèñye reason capacity aliyonayo Mwalimu katika Taaluma Yake ya Ualimu, machache yatahusu masomo anayofundisha. Lakini kwèñye Oral ndîo maswali mengi yatajikita kwèñye masomo ya kufundisha.
Kwa maan nyingine mtihani utakuwa tofauti,maana Kila mwalimu ana different teaching subjects
Haya ni kwenye written au oral?Maswali muhimu ya kujiandaa nayo kama Mwalimu;
1. What is your teaching philosophy?
2. Why are you become a teacher?
3. How technology and teaching medi affect your teaching during classroom?
4. How can you help one students with hearing impairment among other students during your instruction?
5. Explain what problem you expect in teaching
6. Assume most of your students in classroom are active learners, which teaching style will you use?
7. Explain your approach for classroom management
8. What are role of assesments in teaching and learning?
Haya ni kwenye written au oral?
So mwalimu wa Chemistry na Biology atafanya mitihani miwili tofautiMtihani utakuwa NI mmoja Kwa weñye masomo yanayofanana.
Kwèñye kipengele cha subject matter ambacho lengo la mtihani katika kipengele hicho siô tena reason ability Bali memory ability.
Ila vipengele vingine vyote vitakuwa Sawa na waalimu wa masomo mengine.
Upo sahihi sana ila hata hawa waosubili ajira wanatamani wangekuwa wanajishughulisha ila tatizo kubwa ni kwamba hakuna mahali kwa nyakati tulizo nazo unewaza wekeza nguvu na akili bila mtaji wa fedha. Tusijidanganye eti unaweza kujiakili kwa mtaji wa 50 elfu, hapo nikutafuta ela ya kula tu.Kama Taifa kuna haja ya kutoa hsmasa kwa watu kujitegemea au sera ya kujitegemea irudishwe
Watu wanakaa kusubiri ajira bila kujishughulisha uchumi utakuwa kweli?
So mwalimu wa Chemistry na Biology atafanya mitihani miwili tofauti