Waalimu jiandaeni Kwa Written kuanzia alhamis ijayo.

Kama Taifa kuna haja ya kutoa hsmasa kwa watu kujitegemea au sera ya kujitegemea irudishwe

Watu wanakaa kusubiri ajira bila kujishughulisha uchumi utakuwa kweli?
Ni rahisi saana kumshauri mtu ajiajiri! Ila kujiajiri sio jambo la lelemama...mazingira wezeshi n muhimu.....uko na vyeti huna hata mia na umesomea urubanin...ukajiajiri kurusha nn? Mapepo🙄🙄🙄
 
Tupe mfano wa majibu basi mkuu.
 
Kwèñye subject matter maswali lazima yawe tofauti
Hujanijibu this means, Kila somo litakuwa na mtihani wake ambao umo ndo Kuna maswahi ya education Kwa wote,,Sasa huoni mitihani itafanyika siku tofauti maana masomo Yako kma 12
 
Kama Taifa kuna haja ya kutoa hsmasa kwa watu kujitegemea au sera ya kujitegemea irudishwe

Watu wanakaa kusubiri ajira bila kujishughulisha uchumi utakuwa kweli?
Kuna uhusiano gani na mada iliyopo mezani?
 
Kama Taifa kuna haja ya kutoa hsmasa kwa watu kujitegemea au sera ya kujitegemea irudishwe

Watu wanakaa kusubiri ajira bila kujishughulisha uchumi utakuwa kweli?
Una uhakika watu hawajishughulishi?
 
Acheni kutesa watoto wa watu.
Wapeni ajira kwa kutumia mfumo wa 'Santa Kalawe' mwenye kupata apate, mwenye kukosa leo apate kesho.
Utaratibu wa kupata ajira duniani kote ni kupitia usaili!
 
Hujanijibu this means, Kila somo litakuwa na mtihani wake ambao umo ndo Kuna maswahi ya education Kwa wote,,Sasa huoni mitihani itafanyika siku tofauti maana masomo Yako kma 12
Wewe jiandae na usaili! Utumishi wanajua chakufanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…