Raycom mvungi
Member
- Mar 22, 2013
- 79
- 9
Ntakunywa Maji ya pale Jangwani kama ikitokea
Nitaenda kunya ikulu
Shida yeni watz mnaamini sana tetesi,kama ikitokea hiyo mm nahamia malawi
wewe ni noma mkuu,tutaungana wote
Tetesi kutoka katika kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya waalimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000 na wataadjust kama ulikuwa C unahamia D automatically na wa D anahamia E, pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J. Hii ni kuanzia mwezi wa 4-2013.
ntakunywa maji ya pale jangwani kama ikitokea
haiwezekan kivp?..mleta mada ndo kaileta kishamba...ni bora angetoa ni% ngap wameongeze ..then ndo ungeanza kumbuka mgomo wa mwaka ulidai nn? Na hapa wametmiza nn? Je kilio cha walim kimekwisha?..kwa kiwango hicho bado mwl mwnye tgts d anazidiwa na certificate ya mifugo au nursing!..sa hapo mnashangaa nn? Bado ni ubabaishaj tu!..
Km ikitokea me ntahamia afghanistan