Waalimu mnapaswa kuandamana kudai pensheni kamili, kikokotoo kwenye pensheni ni udhalim. Ni aibu kwa serikali kuwekeza kwenye vifo vya watumishi wake!

Waalimu mnapaswa kuandamana kudai pensheni kamili, kikokotoo kwenye pensheni ni udhalim. Ni aibu kwa serikali kuwekeza kwenye vifo vya watumishi wake!

expand...

Mleta mada
Msiwafanye wananchi wajinga nyie wafanyakazi wa serikali

Wananchi inabidi tuingie mitaani kupinga asilimia 15 serikali iliyowachangia michango ya pension kila mwezi kutokana na kodi zetu iondolewe kwenye kikokotoo h8cho kioya haraka

Haiwezekani mnalipwa mishahara wengine hata ajira hawana mnachangia mifuko ya pension asilimia 5 tu halafu serikali inakamua tena walipa kodi inawachangia asilimia 15 kila mwezi mifuko ya pension Huo ni wizi .Hizo asilimia 15 kama zimo humo.kwenye kikotoo zitolewe zirudi hazina zipelekwe kwa vijana wasio na ajira wakajiajiri nyie chukueni pension asilimia tano tu mlizochangia

Kodi zetu hizo asilimia 15 tunazitaka wananchi ..Mnalipwa mara mbili nyie wafanyakazu wa serikali kwanza mnalipwa mishahara halafu tena mnalipiwa asilimia 15 ya michango ya pension .Hilo haliko sawa .Hizo asilimia 15 ziende kwenye mfuko wa kusaidia wasio na ajira wakiwa naxo nao watachangia asimia tano

Nyie wafanyakazi wa serikali na wabunge ndio mnaokula sana keki ya nchi.Wafanyakazi tunataka asilimia 15 hiyo irudi hazina msiichukue chukueni asilimia tano yenu hiyo ndio haki yenu

Kikokoto kipya kitoe hizo asilimia 15 mtakapolipwa sio zenu hizo zenu asilimia 5 ndio zenu
 
Back
Top Bottom